Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Takukuru imeundwa nani ndiyo swali la kujiuliza kwanza ndipo upeleke

Kijana pole unamacho huoni unamasikio usiki unapua hunusi

Kalagabaho
Nimeuliza swali hiyo miondoko ndio ushahidi wa rushwa au kuna kitu kingine?
 
Hatutaki CHADEMA legelege hatutaki CHADEMA ya wala RUSHWA.

RUSHWA ibaki huko huko CCM...
 
Nilidhani ww ni kijani kibichi maana kubishana na hiyo jamii ya akina lucas ni bora ukalime
 
Mwanasiasa wangu bora wa miaka yote,
Tundu Antipass Lissu!!!!!
Mwanangu wa mwisho nimempa jina la huyu jamaa, Lissu
 
Anaitwq Charles William,ni ndugu na Lissu kwa kabila kwani wote wanatokea Singida............ Dogo anajua sana huyu,naomba ufanye kumfutilia katika vipindi vyake
Yuko vizuri sana Charles..ana fanya home work zake vizuri na Yuko well informed yan.
Namfatilia Toka Yuko ea radio kijana ana kitu.
Kwangu Mimi ni best kwenye kizazi chake.
 
Hapa ndo anapojiharibia, yeye ajinadi kwa wapiga kura ili tar 21 wafanye kweli sio ku-attack chama harafu ushahidi hakuna, naanza kupoteza imani na yeye
#Akishindwa anatembea huyu
Acha Ukupe kwani hauoni hapo anajinadi kwa wapiga kura wake kwa kuongea kile kilichojitokeza kwenye chama ?
 
Kibaraka bana dah 🀣

Sasa mayowe anampigia nani, na huko kubweka bweka anampigia nani sasa kwa mfano my friends ladies and gentlemen πŸ’
🫡 ni 🌈
 
Mi huwa nasoma comments za nyumbu wa lissu tu nijiridhishe ni vp hawana kitu kichwani, kama wa humu jf wamezidi....ni vijinga vijingaa, haijalishi kama ni vibabu au vibibi, vyote vinakuwa vijinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…