Kama amevuruga na wahusika wamerugika inaonesha Chadema ni chama dhaifu
Kama wanalewa pesa za CCM, Zikija za beberu je ?Kama amevuruga na wahusika wamerugika inaonesha Chadema ni chama dhaifu
Wewe jamaa unanichekesha unamlindaje mtu anayekubali kupokea rushwa kwa hiyali yake
Kwa hii comment yako kama nchi tunasafari ndefu sana, hivi mkuu huu ushabiki wenu wa vyama unawanufaishaje..Chadema ni dhaifu.
..lakini ndio chama kikubwa kuliko vyote vya upinzani.
..Ccm wanapokea ruzuku ya billion 13 kila mwezi.
..sasa utawapambanisha vipi na vyama vingine, ambavyo ruzuku yao haifiki hata milioni 10?
Hapo nilichoona kwako haupo kutengeneza hoja kwa maslahi ya Taifa zaidi ni kutetea upande wako wa kushabiki chama but nataka nikwambie tu hakuna mwanasiasa ambaye atakuletea mabadiliko kwenye maisha yako unapoteza muda wako bure wakati viongozi wako wanakula maisha, aina ya watu kama wewe mnafanywa kama ngazi ya wanasiasa kufikia malengo yao...haiwezekani kuwazuia au kuwaadhibu wanaotoa rushwa?
..kwanini siku zote wanaohongwa ni wapinzani tu?
..kwanini haitokei kwamba Ccm nao mara mojamoja wakahongwa na wapinzani?
..au kwanini miaka yote wanaoenguliwa ni wagombea wa upinzani, hakuna mgombea wa Ccm ameenguliwa na Tume toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe?
Hapo nilichoona kwako haupo kutengeneza hoja kwa maslahi ya Taifa zaidi ni kutetea upande wako wa kushabiki chama but nataka nikwambie tu hakuna mwanasiasa ambaye atakuletea mabadiliko kwenye maisha yako unapoteza muda wako bure wakati viongozi wako wanakula maisha, aina ya watu kama wewe mnafanywa kama ngazi ya wanasiasa kufikia malengo yao.
Kwa hii comment yako kama nchi tunasafari ndefu sana, hivi mkuu huu ushabiki wenu wa vyama unawanufaishaje
Jiitishe kajimkutano kwanzaLisu kapanick baada ya Kuona Kuna mgombea anataka kugombea nafasi yake ya makamu mwenyekiti
Bora laana hiyo mara 1000 kuliko kuwa na yule nduli.Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.
Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?
Na laana iwatafune milele nyie
Muñgu wabariki wazungu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.
Tuangalie sisi wapika kura tuwe macho na wagombea wanaokuja kwa sababu wamenununua kugombea kwao, kwa sababu wamehonga ili wateuliwe wagombea, kwa sababu wamechafua ili waje wapate nafasi za kugombea na kuchaguliwa, Ninasimamia katika kile nilichokisema Iringa na tuwe macho"-
JAMBO TV
Khe! Hakuna mwenye nafuu 🤣🤣🤣

Na wakigombana na Mbowe wanakimbilia wapi? Tuanze hapo.
Amandla...
Kwa bahati nzuri Mbowe ana historia ya kukiongoza na kukijenga chama chake wakati kinapita katika wakati mgumu. Sidhani kama Lissu ana huo uwezo. Kwangu mimi jinsi anavyoendesha kampeni yake ni bendera nyekundu. Sidhani kama atakuwa na uvimilivu kwa wale watakao tofautiana nae. Nadhani atakimbilia kutaka kuwa bomoa in public. Mbowe toka ametangaza kugombea hajasema kitu in public kuhusu mpinzani wake pamoja na provocation zote. Hii ni kwa sababu anajua ni vigumu sana vidonda vinavyotokana na maneno. Ndio maana namuunga mkono Mbowe.Bado unaamini CHADEMA ya Mbowe inafika 2026 salama kwa mwendo huu ?