Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna uchaguzi usiokuwa na rushwa. Hata wa umonita tu watoto wanajribu kuhonga. Badala ya kulalamika ahakikishe kuwa chama chake kinachukua hatua thabiti kukabiliana na tatizo. Yeye kama Makamu Mwenyekiti kuendelea kulilalamikia hadharani halisaidii sana. Sana sana linaleta wazo pia kuwa bosi wake ama anahusika au halitilii maanani. Ameishasema, tumemuelewa. Sasa awashuhulikie wala rushwa na watoa rushwa wote katika chama chake.

Amandla...
Mwacheni Tundu aseme
 
Ila kwa Mama Abdul tulipigwa aisee 🤣🤣

..Na hali hii ikiendelea itafika wakati wananchi watafanya vurugu.

..demokrasia haileti maendeleo, lakini inasaidia kupunguza hasira za wananchi kama mambo hayaendi sawa

..Nchi yenye demokrasia wananchi wake wanakuwa na imani kwamba wakiichoka serikali yao basi wataibadilisha kupitia sanduku la kura.

..Imani hiyo ndiyo inayowafanya wananchi wasitumie vurugu kubadilisha serikali, au kuonyesha hisia zao kwa watawala,
 
Umeanza vizuri ila umamaliza hovyo sana! Msigwa alipokuwa ananunua kura huku camera zikimnasa hadi kaamua kukimbia, ni wa kilimanjaro yule?
Hujamuelewa GWAMAKA USWEGE alichomaanisha. Sasa kama unashindwa kujuakuwa alichokuwa anakilenga Uswege hapo ni kuwa wapambe wa Mbowe watakuja kumponda Lissu. Utawezaje kuchambua muelekeo wa siasa zet Mkuu?
 
Hapana, wote sisi ni washindi, maana nchi yetu sote hii. Ila tunawekana sawa kidogo tu!​

Tatizo ni kuwa kuna makamanda na makamanda uchwara. Hawa wenye kudhani wao ni chadema zaidi ya wengine una reason nao vipi mkapate ushindi wa pamoja?

Hata hoja za msingi tu kama hizi:

Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!

Utawakuta macho yamewatoka pima, heri mjusi aliyebanwa na mlango. Kwamba wamejawa hasira na husuda.

Nyota ya mtu nani ataizuwia?

To be honest, hata uvumilivu una limit.

Kwa hakika limit hiyo kwa Lissu imekuwa ikisomeka Kwa muda mrefu sasa.

Lakini je, Kuna wenye kuelewa dhidi ya njuluku wanazolipwa kukomaa mitandaoni hata bila hoja?

imhotep advocate kindaki ndaki wa nusu mkate, au nasema uongo ndugu yangu?
 
View attachment 3064424
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema

"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.

Tuangalie sisi wapika kura tuwe macho na wagombea wanaokuja kwa sababu wamenununua kugombea kwao, kwa sababu wamehonga ili wateuliwe wagombea, kwa sababu wamechafua ili waje wapate nafasi za kugombea na kuchaguliwa, Ninasimamia katika kile nilichokisema Iringa na tuwe macho"-

JAMBO TV
Wajameni! sasa tufanyeje? Hivi tunanaondokaje hapa? Au ndio meli imetua nanga.
 
Wajameni! sasa tufanyeje? Hivi tunanaondokaje hapa? Au ndio meli imetua nanga.

Demokrasia lazima iachwe kutamalaki bottom up.

Dhana ya kujidhania awaye yote kuwa ana stake zaidi ya chama ni lazima ife.

Nguvu ya hoja iwe ndiyo iwe engine.

Ifahamike machawa ni liabilities kwa chama.

Machawa yasionewe haya.

Hapo itakuwa mwanzo mwingine mwema.
 
Hata marekani bila ela huwezi kufanya kampeni na wanaokupa ela lazima uje kuwapa Asante ukishinda.
Kwa jicho la pili ni rushwa .
Kanuni ya ubepari .
 
It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...
How else do you get out of it if you don't start with words?
Yes, it's a rotten system, which is why it needs explaining and finding ways of rectifying it by which ever method available.
Tupo Africa not Copenhagen
This is not unique to Africa, Every part of the world has had its own share of the experience at some point in time.; and not all nations in Africa has the same rot as displayed in Tanzania. And the good part is that, this is only a temporary phase which will be swept away sooner than later!
 
Hata marekani bila ela huwezi kufanya kampeni na wanaokupa ela lazima uje kuwapa Asante ukishinda.
Kwa jicho la pili ni rushwa .
Kanuni ya ubepari .
Lakini si angalao wao wana taratibu na vibano vya kuzuia; hapa kwetu ni holela, hakuna sheria hata moja inayobana chochote, na hata ikiwepo ni sawa na kutokuwepo, kwa sababu haitekelezwi.

Na safari hii Samia Suluhu Hassan ndiye atakaye onyesha uzito wa pesa katika kununua uongozi wa nchi. Hakuna kiongozi mwingine yeyote aliye wahi kutegemea pesa kupata ushindi kama alivyo jiandaa Samia.

Ninakubaliana nawe juu ya "Kanuni ya ubepari". Haya huko China huyasikii.
 
Hii nchi bila rushwa madaraka utabidi uyasahau...

It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...

Kupambana na rushwa sio jambo LA mchezo.
I wish him well, but he is fighting the battle he can't win....

Tupo Africa not Copenhagen
Kwakweli !
 
How else do you get out of it if you don't start with words?
Yes, it's a rotten system, which is why it needs explaining and finding ways of rectifying it by which ever method available.
This is not unique to Africa, Every part of the world has had its own share of the experience at some point in time.; and not all nations in Africa has the same rot as displayed in Tanzania. And the good part is that, this is only a temporary phase which will be swept away sooner than later!
Wanasemaga even Rome was not built in one day ! 👍🙌
 
Kila wanachofanya Lumumba ni lazima na ufipa wafanye?

Kwanini usijikite kutengeneza zaidi kwenu Lumumba huko badala ya ku keep poking your noses onto other people's affairs?

Kwamba pilipili zenu mnazo huku bado mna miguu yenu kila mahali?

Looh!

Mbona wengine hamtuoni kwenu huko?

Au ndiyo kupenda mwana kuliko mama yake?
 
Back
Top Bottom