Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpunga umetoka kwa mdhamini mkuu, a.k.a Boss Lady ambaye hali akifahamu fika kwamba akitoa mpunga kwa masharti atakivuruga chama, alifanya hivyo kwa maksudi.

Hii resentment ya kina Msigwa na Lissu ilianza tangu kipindi cha Mwenyekiti kulambishwa asali, huu uchaguzi wa juzi was the last straw to break a camel's back.​
Does not make sense. Kwa hiyo Boss Lady anatoa mpunga kwa Msigwa ili agombane nae kisha ahamie CCM? Au unataka kusema Msigwa na Lissu wanatamani asali aliyolambishwa Mbowe? Hauoni how ridiculous it is? Hamstukii nguvu za ziada zinazotukumia kuwafanya watu waamini Mbowe ni mbaya? Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Mbowe alimchukua kada wa ccm Edward Lowassa na akalambishwa mpunga mrefu. CCM nao wakamchukua Slaa wakamlambisha mpunga mrefu na teuzi.

Mpaka leo Slaa na Mbowe haziendi kabisa, kwasababu, surely there's no honor among thieves.

Choo ni kilekile ila wanyaji ndiyo tofauti tu. Tokea mwaka 1995 CCM haijawahi badilisha mbinu za vita, ni vile tu mna macho ila hamuoni.​
 
Zitto alianzisha chama chake na kuwa Ayatollah.......

Msigwa na Slaa walienda kuomba hifadhi ya ukimbizi CCM........

Kuhusu Lissu ziwezi kumsemea, japo nafahamu fika kwamba uchaguzi wa 2025 hatauona akiwa ndani ya CHADEMA.......​
Na hicho chama cha upinzani cha Zitto kinatumika kama alternative inayokubalika ya CDM.

Lissu hawezi kuondoka CDM. Akiondoka ataacha siasa ya vyama na kubaki kuwa activist na pundit wa mambo ya siasa. Hii inaweza kutokea kama CDM itawasamehe wakina Halima.

Amandla...
 
Mbowe alimchukua kada wa ccm Edward Lowassa na akalambishwa mpunga mrefu. CCM wakamchukua Slaa wakamlambisha mpunga mrefu na teuzi.

Mpaka leo Slaa na Mbowe haziendi kabisa, kwasababu, surely there's no honor among thieves.

Choo ni kilekile ila wanyaji ndiyo tofauti tu.​
Still does not make sense. Mpunga gani watampa Mbowe utakaofidia uharibifu mkubwa waliomfanyia kwenye biashara zake? Ni juhudi tu za kumchafua Mbowe kwa sababu mnaona ni tishio.

Amandla...
 
Na hicho chama cha upinzani cha Zitto kinatumika kama alternative inayokubalika ya CDM.

Lissu hawezi kuondoka CDM. Akiondoka ataacha siasa ya vyama na kubaki kuwa activist na pundit wa mambo ya siasa. Hii inaweza kutokea kama CDM itawasamehe wakina Halima.

Amandla...
Don't put people in a box.

Inaelekea kabisa makamanda mshamkadiria Lissu na kuona kwamba hana maisha ya kisiasa nje ya CHADEMA.

This political megalomania, ndiyo imekuwa ikiwaumiza CHADEMA miaka nenda rudi. Zitto alitoka na mpaka leo yupo kwenye ramani, Slaa alitoka na mpaka leo yupo, Covid-19 walitoka na mpaka leo mnataka kuwasamehe. Sembuse the firebrand Lissu ?

You got to be kidding me!​
 
Still does not make sense. Mpunga gani watampa Mbowe utakaofidia uharibifu mkubwa waliomfanyia kwenye biashara zake? Ni juhudi tu za kumchafua Mbowe kwa sababu mnaona ni tishio.

Amandla...
Boss Lady put the bait, and Mbowe took it.

As of now he's facing a similar predicament, a rich man was faced with during the times of Jesus: Either cling onto your riches and lose your soul, or sell everything you have and give to the poor, then follow me.

You can't serve two masters at once. It's either the MONEY BAG or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and doesn't want to fumble it.​
 
Unaongea kama mtu mwenye uhakika wa kupata mshahara kila mwezi. Kwahiyo wewe unacheza na akili za CCM si ndiyo ?​
Nimewahi fanya kazi kwenye taasisi Halmashauri ambayo inaongozwa na Machadema,kilochokuwa linaendelea ni Ufisadi na wizi tuu.

Muwe mnahadaa wajinga ndio maana naandika hayo.

Hakuna mwanasiasa wa kukusaidia ,Makelele yote ni kutafuta kuiba kama wanavyokula Cha Juu Sasa hivi, wengine wamepata wengine wamezungukwa ndio Makelele ya waliokosa wameanza 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Don't put people in a box.

Inaelekea kabisa makamanda mshamkadiria Lissu na kuona kwamba hana maisha ya kisiasa nje ya CHADEMA.

This political megalomania, ndiyo imekuwa ikiwaumiza CHADEMA miaka nenda rudi. Zitto alitoka na mpaka leo yupo kwenye ramani, Slaa alitoka na mpaka leo yupo, Covid-19 walitoka na mpaka leo mnataka kuwasamehe. Sembuse the firebrand Lissu ?

You got to be kidding me!​
Na yote haya ni kutaka kutuaminisha kuwa Lissu ana mpango wa kutoka CDM? Wote uliowataja hawana platform kama walivyokuwa nayo walipokuwa CDM. Kama maisha ni mazuri kwa Covid-19 kwa nini waombe msamaha?

Lissu ni tofauti na hao uliowataja. Akitoka Chadema atajitoa jumla katika siasa ya vyama na kuendelea kukosoa chama tawala pamoja na Chadema. Hatajiunga na CCM kama wakina Slaa, Peneza na Msigwa.

You are the one who is kidding him or her self.

Amandla...
 
Boss Lady put the bait, and Mbowe took it.

As of now he's facing a similar predicament, a rich man was faced with during the times of Jesus: Either cling onto your riches and lose your soul, or sell everything you have and give to the poor, then follow me.

You can't serve two master at once. It's either the MONEY BAG or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and doesn't want to fumble it.​
Unaota. Bait gani ambayo huyo Boss Lady anaweza kumpa Mbowe?

Amandla...
 
Unaota. Bait gani ambayo huyo Boss Lady anaweza kumpa Mbowe?

Amandla...
Listen to yourself!

Kama Fisadi Lowassa bought his was way to the top of CHADEMA what makes you think the Boss Lady hasn't already ?

You can't serve two masters: It's either THE MONEY BAG or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and he doesn't want to fumble it.

Mbowe is so obsessed with worldly possessions like an Ottoman Pasha.​
 
Listen to yourself!

Kama Fisadi Lowassa bought his was way to the top of CHADEMA what makes you think the Boss Lady hasn't already ?

You can't serve two masters: It's either THE MONEY BAD or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and he doesn't want to fumble it.​
Broken record. Lowassa bought nobody. He just wanted to be president and Mbowe saw it as an opportunity for his party to gain more seats in parliament and presidential votes which he got. The votes translated into a larger ruzuku that could be used to reach areas that CDM had never reached before. Slaa could never have won the votes Lowassa did. He also had nobody on his coattails who could ride his wave into parliament. It was a strategic move that Mbowe played to perfection.

Amandla....
 
Oooh really!

So CHADEMA went to bed with The Grand Duke of UFISADI just for the sake of securing the political largesse a.k.a RUZUKU.

And where are the financial records of the RUZUKU largesse ? How many branches have you established since 2016 ?​
 
Hii nchi bila rushwa madaraka utabidi uyasahau...

It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...

Kupambana na rushwa sio jambo LA mchezo.
I wish him well, but he is fighting the battle he can't win....

Tupo Africa not Copenhagen
Upiganie haki na kuipinga rushwa ni hatari kwq individuals
Mbona wanakuzima mapema sana
Halafu wanatafuta mchawi

Sio Africa tu hata Asia na nchi nyingi tu Rushwa ni janga na haliondoki kwa maneno ila vitendo
 
Haya ni maneno ya kupaka rangi upepo.

Ndiyo, mwanasiasa hawezi kukusaidia lakini mfumo unaweza kubadilisha maisha yako, kwa jema au baya.

Leo hii hao wanasiasa wakicheza na mfumo, hata wewe unayejitia hunufaiki hapa unaweza kujikuta ni mkimbizi au marehemu kama ilivyokuwa Uganda, Rwanda, Burundi na Congo.​

..Na wanaochezea mifumo ni Mama Abduli na genge lake. Bila ku-deal na genge hilo hakuna kitakachobadilika.
 
Back
Top Bottom