Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3064424
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema

"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.

Tuangalie sisi wapika kura tuwe macho na wagombea wanaokuja kwa sababu wamenununua kugombea kwao, kwa sababu wamehonga ili wateuliwe wagombea, kwa sababu wamechafua ili waje wapate nafasi za kugombea na kuchaguliwa, Ninasimamia katika kile nilichokisema Iringa na tuwe macho"-

JAMBO TV
Chama Cha Wala Rushwa eti kinapigania Rushwa isiwepo 😆😆😆😆😆

Siasa za Bongo Hazina tofauti na Simba na Yanga
 
View attachment 3064424
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema

"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya mtu yeyote yule ni adui wa demokrasia na ni adui wa haki, kiongozi yeyote anayepatikana kwa kununua wapiga kura huwauza siku ikifika, kwa hiyo nilichokisema Iringa ninakisimamia kama nilivyokisema, kuna tatizo la rushwa linatuvuruga CHADEMA.

Tuangalie sisi wapika kura tuwe macho na wagombea wanaokuja kwa sababu wamenununua kugombea kwao, kwa sababu wamehonga ili wateuliwe wagombea, kwa sababu wamechafua ili waje wapate nafasi za kugombea na kuchaguliwa, Ninasimamia katika kile nilichokisema Iringa na tuwe macho"-

JAMBO TV
Dhambi ya rushwa haitamwacha salama sugu
 
Nahisi kuna mtu alijiaanda kugombea urais sasa anaona kama nafasi yake itakuwa finyu kutokana na mwenyeki anaweza kuweka sura mpya kwa manufaa ya chama sasa lazima sababu zianze kutafutwa. Wenye D2 mnaonaje?
 
Man, I admire the honesty of Lissu 🤣🤣🤣

Sasa hapo asikilizie Kilimanjaro Elites watakavyomwangukia kama kipanga.​

..anayehonga ni Mama Abduli na Ccm.

..tuanze na hao, halafu wengine watarudi ktk mstari.

..kinachotokea kwa Chadema kilishatokea kwa Nccr, na Cuf. Tatizo tulivilaani vyama hivyo badala ya kushughulika na chanzo, yaani Ccm.
 
..anayehonga ni Mama Abduli na Ccm.

..tuanze na hao, na hao wengine watarudi ktk mstari.

..kinachotokea kwa Chadema kilishatokea kwa Nccr, na Cuf. Tatizo tulivilaani vyama hivyo badala ya kushughulika na chanzo, yaani Ccm.
Usifananishe kabisa CHADEMA na CUF au NCCR. CHADEMA ndiyo chama pekee cha upinzani chenye mwelekeo kuwahi kutokea hapa Tanzania.

Wanapoanza kuishi kama CCM au ACT sisi hatuwezi kuwaelewa. Kila mtu tangia Zitto, Slaa, Msigwa na kipindi hiki ni Lissu wanaondoka kisa kugombana na Mbowe, sasa aidha wao ndiyo wako na tatizo au Mbowe ndiyo shida.

Wewe huwezi kuwa unagombana na kila mtu, na kila siku wewe ndiyo unaonewa na kuhujumiwa tu. Haiwezekani.

Something is not right.​
 
Jamaa amenyooka kabisa kuwa hampendi YUDA ilISKARIOTI
Mbowe na wenzake wanataka kugeuza chama cha uma kuwa mali binafsi ya wachagga. Ule ni ujinga anaoufanya, tena utawagharimu siku si nyingi, wataishia kama CUF ambao walionekana ni chama cha kiislamu.​
 
Usifananishe kabisa CHADEMA na CUF au NCCR. CHADEMA ndiyo chama pekee cha upinzani chenye mwelekeo

kuwahi kutokea hapa Tanzania. Wanapoanza kuishi kama CCM au ACT sisi hatuwezi kuwaelewa. Kila mtu tangia Zitto, Slaa, Msigwa na kipindi ni Lissu wanaondoka kisa kugombana na Mbowe, sasa aidha wao ndiyo wako na tatizo au Mbowe ndiyo shida.

Wewe huwezi kuwa unagombana na kila mtu, na kila siku wewe ndiyo unaonewa na kuhujumiwa tu. Haiwezekani.

Something is not right.​

..wakati Nccr, na Cuf, wako juu, Chadema kilikuwa chama kinachodharauliwa.

..kipindi hicho hakuna mtu alikuwa hajali nini kinaendelea ndani ya Chadema.

..wakatu ya Ccm ina kuhangaika kukiporomosha chama cha Nccr, na baadae Cuf, ndipo Chadema ikaibuka.

..tunachopaswa kufanya ni kuilinda Chadema na hujuma za Ccm na vyombo vyake.

..Wananchi tukiacha Chadema iporomoke, na kufa, maana yake tumekubali kuishi ktk mfumo wa chama kimoja.
 
Nani hataki pesa? Wewe hapa Duniani unatafuta nini kwani? 😆😆
 
..watu wapate pesa kwa kufanya kazi, sio kuhongwa.

..Mama Abduli anahongwa na Waarabu halafu anakuja kuvuruga vyama vya upinzani.
Nani anataka kuvuja jasho kama Kuna pesa za mseleleko? Unaweza kuwa Tajiri Kwa kufuatisha mifumo?
 
..wakati Nccr, na Cuf, wako juu, Chadema kilikuwa chama kinachodharauliwa.

..kipindi hicho hakuna mtu alikuwa hajali nini kinaendelea ndani ya Chadema.

..wakatu ya Ccm ina kuhangaika kukiporomosha chama cha Nccr, na baadae Cuf, ndipo Chadema ikaibuka.

..tunachopaswa kufanya ni kuilinda Chadema na hujuma za Ccm na vyombo vyake.

..Wananchi tukiacha Chadema iporomoke, na kufa, maana yake tumekubali kuishi ktk mfumo wa chama kimoja.
Nakubalina kabisa na wewe, CHADEMA ni sehemu muhimu mno ya siasa za Tanzania. Japo tutakisaidia CHADEMA kwa kuanza kuwaambia ukweli kwamba Mbowe na wenzake kina John Mrema wamejisahau na kutaka kuigeuza CHADEMA kuwa Kilimanjaro Saccos. Hili halikubaliki hata kidogo.

Na siyo tuu kuhusu nafasi ya Mbowe, CHADEMA hata kwenye masuala ya fedha hawajawa wawazi na hawawajibishani. Lema na Mbowe wote washawahi kula pesa na hakuna aliyejaribu kuuliza wala kuwajibishwa. Tabia ya kishenzi kabisa hii, maana hizo hela waliochanga ni watanzania.

Leo hii tulitegemea CHADEMA iwe inafanya mikakati ya kuandaa kizazi kipya cha wanasiasa, maana fedha wanazo. Huu ujinga wanaoufanya kipindi hichi kujibembeleza kwa mama abdul ili wapewe fidia za shamba za mboga haukubaliki kabisa.​
 
Nani anataka kuvuja jasho kama Kuna pesa za mseleleko? Unaweza kuwa Tajiri Kwa kufuatisha mifumo?
Mbowe keshalamba mpunga, halafu hataki kukubali ukweli. Zaidi zaidi amegundua kwamba chama kinaweza kumpa utajiri mwingi zaidi kwa njia rahisi kabisa.

Nasikia analamba mpunga halafu anawaambia wajumbe kwamba, najilipa kwasababu nilishawahi kukikopesha chama huko nyuma.

Mazuzu nayo yanakubaliana tu 🤣🤣
 
Nakubalina kabisa na wewe, CHADEMA ni sehemu muhimu mno ya siasa za Tanzania. Japo tutakisaidia CHADEMA kwa kuanza kuwaambia ukweli kwamba Mbowe na wenzake kina John Mrema wamejisahau na kutaka kuigeuza CHADEMA kuwa Kilimanjaro Saccos. Hili halikubaliki hata kidogo.

Na siyo tuu kuhusu nafasi ya Mbowe, CHADEMA hata kwenye masuala ya fedha hawajawa wawazi na hawawajibishani. Lema na Mbowe wote washawahi kula pesa na hakuna aliyejaribu kuuliza wala kuwajibishwa. Tabia ya kishenzi kabisa hii, maana hizo hela waliochanga ni watanzania.

Leo hii tulitegemea CHADEMA iwe inafanya mikakati ya kuandaa kizazi kipya cha wanasiasa, maana fedha mtoto wanazo. Huu ujinga wanaoufanya kipindi hichi kujibembeleza kwa mama abdul siyo ili wapewe fidia za shamba za mboga haukubaliki kabisa.​

..Mama Abduli na genge lake washughulikiwe.

..Baba Dudley na genge lake washughulikiwe.

..Hayo yanatakiwa yafanyike kwa wakati mmoja.
 
CCM ishakuwa mavi ya kale, iko madarakani kwasababu ya vyombo vya dola. Hakuna chama pale.

Ila CHADEMA, hata madaraka hawajagusa washaanza kuishi kama CCM, unataka tuwaelewaje kweli ?

Mbowe is obsessed with worldly possessions as an Ottoman Pasha.​
 
Back
Top Bottom