Maswa Yetu
Senior Member
- Mar 18, 2023
- 155
- 217
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.