Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...

Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Sio kwa unavyotamani. Kumtaka wajenge chama sio kumpigia magoti, labda useme amezira anataka apigiwe magoti.
 
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.

Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.

Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.

Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
Pole mangi,piga funda la mbege donge lishuke
 
Acha upotoshaji unaobeba nogwa yako dhidi ya Lisu. Alichofanya ni kuweka rekodi sawa kwa hawa wapotoshaji wanaotaka kujitokeza sasa kuhusu mbinu ya no reform no election. Hakuna popote anapotaka Mbowe alaumiwe, lakini anataka kuonyesha ni wapi maamuzi hayo yalipoanzia, tena amewataja hadharani baadhi ya wajumbe waliokuwepo. Ingekuwa anataka kuikwepa msimamo huo asingesema huo ni msimamo sahihi wa chama kwa sasa, bila kujali umeanzia wapi.
 
Lissu alisema ukweli kuhusu "udikteta uchwara" wa Hayati Magufuli lakini huyu mjumbe ameongea porojo na upotoshaji eidha kwa kutokujua au kwa makusudi.
Lisu ana laana ya Magufuli
 
Lissu anatakiwa kuweka juhudi katika kuunganisha chama kuliko kupambana na wale ambao anaona wanamkwaza. Mimi sikujua kuwa kuna kiongozi mkubwa wa CDM amemuita dikteta uchwara mpaka alipoliingiza katika hotuba yake. Hakuwa na sababu ya kurudia msimamo wake kuhusu ushindi wa Aidan ambae Bawacha wamemkumbatia. Suala la usawa wa kijinsia katika uongozi ni lazima pia liangalie structural obstacles. Bila upendeleo ni vigumu wanawake kufikia parity na wanaume. Ni mwanzo mzuri lakini safari bado ni ndefu.

Amandla...
 
Acha upotoshaji unaobeba nogwa yako dhidi ya Lisu. Alichofanya ni kuweka rekodi sawa kwa hawa wapotoshaji wanaotaka kujitokeza sasa kuhusu mbinu ya no reform no election. Hakuna popote anapotaka Mbowe alaumiwe, lakini anataka kuonyesha ni wapi maamuzi hayo yalipoanzia, tena amewataja hadharani baadhi ya wajumbe waliokuwepo. Ingekuwa anataka kuikwepa msimamo huo asingesema huo ni msimamo sahihi wa chama kwa sasa, bila kujali umeanzia wapi.
Na karibu wote aliowataja ni Team Mbowe. Anatakiwa alibebe jumla maana sasa ni lake na wakubwa wenzake. Anapo react kwa mambo kama haya anaonyesha achilles heel yake iko wapi. Leo ni siku ya wakina mama na angejikita hapo na sio kuingiza grievances zake.

Unapoanza uongozi ni muda muafaka wa kuonyesha nini ni sahihi. Kuacha upotoshaji usambae ni kuruhusu wapotoshaji wamwage sumu bila sababu ya msingi. Wakati mwingine hao wakwamishaji watakuwa na adabu maana mwenyekiti amekuwa muwazi.
 
Kwahio kuna wanachadema wasiojua msimamo wa Chama, kama ni wachache waeleweshe kama ni wengi basi fuata msimamo wa hao wengi.
 
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.

Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.

Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.

Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
Sidhani kama umeielewa point ya TAL, na ni kwa sababu umemsikiliza ukiwa too negative kwakuwa pengine unamchukia.

Lakini alichokizungumza hata mtoto smart wa darasa la nne anayesubiri mtihani wa kuingia darasa la tano anaweza kuelewa vema. Ajabu ni kuwa watu wazima tena wa jf wanaotamba humu kila siku kuwa ni wasomi, matajiri, big brains/great thinkers etc ndio wanatoka kapa na kutafsiri tofauti kilichozungumzwa. Strange.
 
Na wewe ni mmoja wao
 
Dah 😂
Huyu mzee alikuwa kinara kumuita JPM ni dikteta uchwara, sasa hv nae analalamika kuitwa hvy hvy 😂

Wote mtatubu tuu
 
Unapoanza uongozi ni muda muafaka wa kuonyesha nini ni sahihi. Kuacha upotoshaji usambae ni kuruhusu wapotoshaji wamwage sumu bila sababu ya msingi. Wakati mwingine hao wakwamishaji watakuwa na adabu maana mwenyekiti amekuwa muwazi.
Hajaanza uongozi. Lissu alikuwa the second most powerful person in Chadema. Alikuwa tayari ana constituency. Baada ya uchaguzi ule his first priority ilipaswa kuwa kuunganisha chama. Angeangalia huo upotoshaji unamuathiri vipi? Kama No Reform No Elections ni msimamo mzuri wa chama ana hasara gani kama akibebeshwa? Matendo yake ndio yataonyesha kama yeye ni dikteta uchwara au la.

Lakini mbona hata yeye alipotosha mengi kuhusu Mwenyekiti wake? Ajue kuwa hiyo ndio misalaba ya uongozi.

Amandla...
 
Sidhani kama umeielewa point ya TAL, na ni kwa sababu umemsikiliza ukiwa too negative kwakuwa pengine unamchukia.

Lakini alichokizungumza hata mtoto smart wa darasa la nne anayesubiri mtihani wa kuingia darasa la tano anaweza kuelewa vema. Ajabu ni kuwa watu wazima tena wa jf wanaotamba humu kila siku kuwa ni wasomi, matajiri, big brains/great thinkers etc ndio wanatoka kapa na kutafsiri tofauti kilichozungumzwa. Strange.
Sasa si ungewasaidia kwa kuwaelezea hiyo point ya Lissu ambayo hawajaelewa?

Amandla...
 
nadhani ili asiwe dictator, aache watu wawe na uhuru wa kuongea, asiwafumbe mdomo.
 
Back
Top Bottom