imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kweni huyo mjumbe kauwawa au katekwa kama anavyofanya Mwenyekiti wa CCM?!Huo uvumilivu akauibe wapi? Madikteta huwa hawana uvumilivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweni huyo mjumbe kauwawa au katekwa kama anavyofanya Mwenyekiti wa CCM?!Huo uvumilivu akauibe wapi? Madikteta huwa hawana uvumilivu
Labda huko kwenu laana ina maana nyingine.Lisu ana laana ya Magufuli
Lifeli mara ngap mkuu, huoni anatafuta collective responsibility huku yeye akijitoa taratibu...Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.
Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
Afanye kazi aache kulialia sasaKweni huyo mjumbe kauwawa au katekwa kama anavyofanya Mwenyekiti wa CCM?!
Kama unamanisha Mbowe, kwàni hayupo chadema?Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...
Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?Sio muda mrefu atamuomba kwa magoti arudi wajenge chama...
Reference point inayoweza kumpa uhalali kila akizungumza..
Hawawezi kukosekana hata siku moja,ingawa kujulikana ni rahisi Sana!Bado kuna mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA.
Hawawezi kukosekana hata siku moja,ingawa kujulikana ni rahisi sanaBado kuna mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA.
Muosha huoshwa. Amesahau kwamba na yeye alikuwa akimuita Magufuli dikteta uchwara?Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Alikuwa anaweka mambo sawa ili upotoshaji usionekane kuwa ndio ukweli upo hapo?!Afanye kazi aache kulialia sasa
Yupo CDM kama mjumbe wa kamati kuu na hana maamuzi ya jumla kwa mambo mengi yanayoendelea CDMKama unamanisha Mbowe, kwàni hayupo chadema?
Hii maana yake, baadhi ya wana Chadema akili za nyumbu zinaanza kuwatoka na akili za binaadamu zinaanza kuwarudia, macho yanaanza kufunguka, na kuona!.Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?
Kwamba ukiwa makamu wa mwenyekiti una power hiyo usemayo? Ama hujui hivi vyama vinaendeshwaje? Ameweka rekodi sawa ili watu wasilete unafiki usio na tija. Kama alipotosha mengi kuhusu Mbowe, ni juu ya Mbowe kujitokeza kuweka rekodi sawa.Hajaanza uongozi. Lissu alikuwa the second most powerful person in Chadema. Alikuwa tayari ana constituency. Baada ya uchaguzi ule his first priority ilipaswa kuwa kuunganisha chama. Angeangalia huo upotoshaji unamuathiri vipi? Kama No Reform No Elections ni msimamo mzuri wa chama ana hasara gani kama akibebeshwa? Matendo yake ndio yataonyesha kama yeye ni dikteta uchwara au la.
Lakini mbona hata yeye alipotosha mengi kuhusu Mwenyekiti wake? Ajue kuwa hiyo ndio misalaba ya uongozi.
Amandla...
Sijui kinachoendelea chadema, sina habari kabisa hivyo kuni tag hapa ni kunionea.
Yeah naungana na wewe..huu msimamo wa No reform no election wange u review kwa kweli. Utekelezaji wake ni mgumu sana.Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.
Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.
Huyo mlamba viatu wa Mbowe hana loloteNakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi wa uenyekiti (CHADEMA) ulisema humu tena kwa kujiamini kabisa kwamba Lissu hatachaguliwa uenyekiti. Hatimaye amechaguliwa na bado unaonekana una nongwa nae. Lissu alikukosea nini Mkuu?