Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa Chadema Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election.
Tundu Lisu amelalamika kuwa si haki yeye kuitwa dikteta uchwara kwani msimamo wa no reform no election ni msimamo wa chama toka Mwenyekiti akiwa Freeman Mbowe, na uamuzi huo ulitokana na vikao halali vya chama.
Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Taifa kama hajaridhika na msimamo wa Mwenyekiti mtangulizi angeweza kufanya mabadiliko muda wowote kuanzia sasa.
Masuala ya kusema jambo hili liliamuliwa kipindi cha Mbowe maana yake ni kwamba likishindwa kufanikiwa utarusha lawama kwa Mbowe.Likifanikiwa utajivika wewe utukufu kwamba ulilisimamia vizuri.
Lissu amekuwa ni mwanasiasa anayejipenda binafsi.Yuko tayari kumshambulia yoyote wakati wowote ili kufikia malengo yake.
Lissu mwache Mbowe apumzike acha tabia za kumsukumia upuuzi wako.