Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Disciplined?How?Wale wa New Zealand wanaovaa kama bomba la mpapai(wanaume pale mbele)bila nguo nao utasema ni uncultured na undisciplined?Bado sana.
mbona umeenda mbali sana 🀣

nadhani tatizo linaanzia hapo kwa kuchota ya kule unayaleta huku, that is slavery πŸ’
 
Ukweli wajinga ni wengi sana wee funguwa kajumba ka majani andika ...ukiingia humu utapata Utajiri....hiyo foleni ni kutoka Posta mpaka Pugu...
 
... huwa nipo pamoja na LISSU kwenye hoja zake nyingi lakini anapoanza kuibuka na hoja ambazo hajazitafiti au pale anapotumia ujinga wa anaowadanganya huwa ananikata 'steam'!
... hivi nani hajui kuwa mvua za mwaka huu mikoa inayojaza maji yake mto Rufiji hazikuwa za kawaida?
... kwanini na yeye, na usomi wake, atumie ujinga wa watu kupenyeza ajenda zake? ... yaani watu wanaitwa majinga na ujinga wao kutumiwa HAPOHAPO ...!
TOO MUCH! πŸ˜…
 
Na yeye ni mtanzania hivyo Ujinga unamuhusu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukute hapo hata kyupi hujavaa inapigwa na upepo tu
 
Mjinga ni wewe,hujui hata LISU alikua anaongea Nini. Kwa kifupi wewe ni poyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…