Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Huo ni ushauri wa KIPUMBAVU na hatuwezi kumruhusu Tundu Lissu aufuate. Kukosea ni ubinadamu ila Kusamehe ni kazi ya Mungu.
 
Mafao ya ubunge alivyolipwa na dk Samia kayamaliza, maisha uzunguni yamekuwa magumu kaona isiwe tabu karudisha mpira Kwa kipa.
 
Lissu karibu tz Ila uthithubutu kumtukana mama, kaa ukijua ukiwa selo chawa zako hata maji hawataleta.
 
Ni wakati muafaka wakupata wahalifu wote walio taka kutoa Roho yake,na sisi kwa yeye tu,na wote waliyoteswa enzi za Mwendazake
Upo sahihi. Hiyo ni kazi ya Dola. Yeye amepona, tunamshukuru Mungu. Lissu hawezi kuwapata na kuwafanyia chochote wauaji. So, asamehe tu. Kupona kwake ni maajabu na kutoka hadharani kuwasamehe pia maajabu. Yeye ni muujizaa
 
Mafao ya ubunge alivyolipwa na dk Samia kayamaliza, maisha uzunguni yamekuwa magumu kaona isiwe tabu karudisha mpira Kwa kipa.
Hizi ndiyo siasa za hovyo na kipumbavu ambazo Madam President alizikemea, UPUUZI MTUPU!!! Lissu kwa level aliyofikia hatokuja kufulia tena hadi anakufa wewe kilaza, kwa sasa what drive him ni ambitions zake za kisiasa or may be mapenzi yake kwa nchi yake, ila siyo ndululu
 
Ninafahamu kwamba, licha ya ahadi ya Mheshimiwa Rais na licha ya utayari wangu na wetu, siku zijazo hazitakuwa rahisi. Ninajua kuwa tutakabiliwa na majaribu ya kila aina na tutapitishwa katika tanuru kubwa la matatizo na magumu mengi."
 
Aya ngoja tuone
 
Amina
 
HE IS COMING HOME!
Hivi ni kweli? Anakuja kweli?
Eee Mungueee, Asante sana Mungu wangu kwa kunifuta machozi mengi niliyolia siku Lissu alipomiminiwa risasi...Sina mengi ya kusema Baba Mungu ila tu ni Atukukuzwe Baba, Atukuzwe Mwana na pia Atukuzwe Roho Mtakatifu Aaamen🙏
 
Ninafahamu kwamba, licha ya ahadi ya Mheshimiwa Rais na licha ya utayari wangu na wetu, siku zijazo hazitakuwa rahisi. Ninajua kuwa tutakabiliwa na majaribu ya kila aina na tutapitishwa katika tanuru kubwa la matatizo na magumu mengi."
Awamu ya Mama hakuna hayo makitu ya TANURU, MATATIZO, na MAGUMU, awe na amani, hiyo tarehe 25 atalindwa zaidi ya Dr. Samia! Na maisha yake hapa TZ yatakuwa poa kabisa, kama yalivyokuwa before 2016, aje achape kazi awaamshe usingizini hawa akina Bashe na wenzake
 
Tutashitakiwa Miga.by Tindu lissu tokea enzi hizo Tindu lissu nilimwona ni kama mpiga debe tu,hata akirudi hakuna hatakacho badili.Watanganyika tulisha mpuuza.
 
Tutashitakiwa Miga.by Tindu lissu tokea enzi hizo Tindu lissu nilimwona ni kama mpiga debe tu,hata akirudi hakuna hatakacho badili.Watanganyika tulisha mpuuza.
Hatutaki siasa za kikumbafu za makufuri.
Mhe Rais Mama Samia ni shujaa wa Tanzania ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…