Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, nchi hii Ina viojaNi ushauri tu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema aliyejeruhiwa kwa Risasi na Wavamizi nyumbani Kwake akiwa anatokea bungeni mh Tundu Antipas Lisu atawasili siku ya Jumatano 25/01/2023 saa 13:35 mchana
Ni vema Watanzania Bila kujali itikadi wakapewa fursa ya kwenda kumpokea
Twendeni tukampokee vyema Mkombozi wetu - bila kujali Chama wala itikati. Serkali itoe tamko kuwa siku hiyo iwe siku ya mapumziko. Aidha, Viongozi wote wa kitaifa wa Vyama vya Siasa, Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume ya Uchaguzi wote wawepo.Duh, nchi hii Ina vioja
This Man of God.Kuhusu suala la Katiba Mpya, Mhe. Lissu amesema “Kwa vyovyote itakavyokuwa, mwaka huu utakuwa mwaka muhimu sana katika historia ya nchi yetu. Ni mwaka ambao, kama tukiamua kwa dhati ya mioyo yetu, tutapata Katiba Mpya na ya kidemokrasia, yenye mfumo huru wa uchaguzi, inayojali na kulinda haki za wananchi na inayoweka misingi imara ya uwajibikaji wa viongozi wetu kwa wananchi na wawakilishi wao.”
Kwa nini mkuu unasema hivyo?Duh, nchi hii Ina vioja