Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Tayari jina lishakamata hilo hakuna tena njia
Mkuu Uchawa ni jambo la kawaida sana kwenye siasa hahaha, kuna machwa wa Mbowe, Lissu, Biden, Kagame, Mama, n.k.

Kawaida sana, labda may be tuamue kuishi kidikteta kama miaka hii 6 iliyopita ambapo machawa (especially wa upinzani) walidhibitiwa
 
Arudi tu aje amalize kesi yake na police. Asimsahau yule dereva wake.

Maana ni Shahid muhimu....
 
Tunamsubiri kwa mapokezi makubwa kushinda yale ya wakati ule.
 
Nikikumbuka Lile tukio la Area C la Tundu LISSU kwenye Yale Malisasi niliyoyashuhudia,

Namchukia sana Jiwe.

ULIKUWA NI UKATILI ZAIDI YA UNYAMA.
 
Karibu. Alidhani ubabaishaji wake unaweza kufua dafu ulaya.

Acha arejee akapige soga na kupewa asali kama mwenzake akina Mbowe na Zitto arambe na kunyamaza
 
Hivi ni kweli? Anakuja kweli?
Eee Mungueee, Asante sana Mungu wangu kwa kunifuta machozi mengi niliyolia siku Lissu alipomiminiwa risasi...Sina mengi ya kusema Baba Mungu ila tu ni Atukukuzwe Baba, Atukuzwe Mwana na pia Atukuzwe Roho Mtakatifu Aaamen
 
Lissu KILA siku anarudi nyumbani, lini atarejea halisi
1673677246473.jpeg

=
Ikiwa hadi TBC wameripoti hili swala, Je Showmax huoni utofauti hapo??

Enzi zile TBC wangeweza kweli kufanya hivi??
 
Chadema ni chama wachaga wanamtumia tu Lissu kutafuta madaraka.

Uzuri watanzania wote wamestuka kasoro wanyaki na watu wa tarime ndio wanashobokea sana hao wachaga.
Bora Baba ako angepiga tu puli....
 
Kwani kabla hatujanyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji na kushitakiwa Miga, tulikuwa tunalipwa ngapi?
Screenshot_20230114_093043.jpg

Punguza ujuaji kesi zilifunguliwa ila jamaa wakaondoa na wakasema msipofikia suluhu kwenye mazungumzo watafungua kesi upya. Nyie mkasalimu amri ya kudai trillion 300+ na mkasamehe Makinikia pia mkawapa 84% ya hisa kwenye kampuni tanzu Sasa hapo wawanyoe ya Nini wakati wameshawakata pumzi.

Kesi zilikua zaidi ya 13 so sio kweli kwamba mabeberu hayakufungua kesi. So kama mngesimamia msimamo wa kudai Kodi na kuzuia Makinikia yasiuzwe mngelipishwa tu na hakuna kitu jiwe angefanya. Muwe mnasoma kabla ya kucomment
Screenshot_20230114_092919.jpg
 
Lete video/chochote hapa kinachomuonesha Lissu akihamasisha ushoga, kama huna basi wewe ni LIPUMBAVU FLANI TU HIVI linalochafua watu mitandaoni, Stupid
Nitakuwa najibizana na taahira aliyeathiriwa na ushoga. Ni wapi nimemtaja lisu kwenye maandishi yangu?

Au ndiye basha wako!
 
Back
Top Bottom