Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Lissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake.

Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai.

Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone makaburi ya watu maarufu pamoja na kumsalimu Janeth. That will mean and attract love and set a reference point in humanity
Ushauri poa sana huu, atapata mileage kubwa mnoo ya kisiasa kama statesman na mkomavu kisiasa.
 
Lissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake.

Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai.

Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone makaburi ya watu maarufu pamoja na kumsalimu Janeth. That will mean and attract love and set a reference point in humanity
Nitaunga mkono hoja yako endapo atathibitisha kuhusika kwake na tukio la kupigwa risasi wahusika lazima wapatikane siamini kama magu alishika hiyo bunduki
 
Yaani makamu wa Rais avujishe Siri ilihali ndio alisimamia wizi wa madini miaka 20?? Uko serious kweli? Kama alivujisha mbona alipewa kesi ya uhujumu uchumi na akalipa almost billion 2 ndio akaachiwa?? Informant wa JPM alitajwa siku Ile ile Wala hakua Mwanyika.

Kingine kunyolewa ni sababu tulisalimu amri Kabudi aliomba mabeberu wafute kesi na wao wafute kesi Ili waunde kampuni tanzu. Ndio ikaundwa kampuni mpya ambako mabeberu Wana 84% hisa huku Makinikia yakisafirishwa nje kama Kawa na Tanzania tukiambulia mrabaha wa 6% hivi!!!

Kipi Cha ajabu hapo?? Kama JPM angekua kidume angewadindishia walipe zile trillion 300 au wangegawana hisa 50-50!!
Kwani kabla hatujanyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji na kushitakiwa Miga, tulikuwa tunalipwa ngapi?
 
..tumechezewa akili tu.

..acacia hawakufutwa bali wamerudi kuwa chini ya barrick 100%.

..pia kufurahia kulipwa usd 300 kidogokidogo wakati tulihakikishiwa tunadai usd 191 billion ni ujuha.

..suala la Mwanyika kawadanganye uv-ccm, mataga, na sukuma gang.
Hata kama,tulinyolewa na vipande vya chupa pasipo maji na accecia na kufirisiwa,kama mwanasheria Lissu alivyokuwa anatuaminisha?hayo mambo ya tulipata kidogo kuliko tulichotarajia hayo hayana shida kwani hata mwanzo kwenye tawala zilizo pita hatukuyapata na maisha yalisonga, lakini je tulishitakiwa Miga na kunyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji kama Lissu alivyokuwa anatuogopesha watanganyika?
 
..kunyolewa bila maji ni vijembe tu vya wanasiasa.

..je, huna taarifa kuwa acacia waliishtaki serikali ya Tanzania?

..kama unaamini kulipwa usd 300 mil badala ya usd 191 bil ni ushindi hakuna namna ya kukusaidia.
 
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli.
 
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli.

..Nimekuuliza kama unafahamu kuwa acacia waliishitaki serikali mahakamani.

..Kama hatukuogopa, kwanini tulikubali usd 300 mil badala ya usd 191 bil tulizohakikishiwa kuwa ni haki yetu?
 
..Nimekuuliza kama unafahamu kuwa acacia waliishitaki serikali mahakamani.

..Kama hatukuoga kwanini tulikubali usd 300 mil badala ya usd 191 bil tulizohakikishiwa kuwa ni haki yetu?
Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia wakati walikwenda Miga na kushinda kesi?wadanganye Chadema wenziwe wanaokamatwa masikio na lisu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.

View attachment 2479728

"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya Tanzania kwa mara nyingine tena siku ya Jumatano ya tarehe 25 Januari, 2023, majira ya saa saba na dakika 35 mchana." amesema

Ameongeza, “Kwa muda huo, ninatarajia kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia nikitokea Brussels, Ubelgiji, kwa kupitia Addis Ababa, Ethiopia. Nitafurahi sana kwa mapokezi yoyote siku hiyo."

Kuhusu suala la Katiba Mpya, Mhe. Lissu amesema “Kwa vyovyote itakavyokuwa, mwaka huu utakuwa mwaka muhimu sana katika historia ya nchi yetu. Ni mwaka ambao, kama tukiamua kwa dhati ya mioyo yetu, tutapata Katiba Mpya na ya kidemokrasia, yenye mfumo huru wa uchaguzi, inayojali na kulinda haki za wananchi na inayoweka misingi imara ya uwajibikaji wa viongozi wetu kwa wananchi na wawakilishi wao.”

Anarudi nyumbani kuja kushiriki katika kuandika ukurasa wa kwanza mpya wa kitabu chenye kurasa 365 cha mwaka huu wa 2023, anaamini kwamba, kwa umoja wetu na kwa mapenzi yetu kwa nchi yetu, tutaandika kitabu kizuri.

Mwanasiasa huyo machachari, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki ambae pia ni mwanasheria Nguli nchini alinusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi za moto na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 wakati vikao vya Bunge vikiendelea Jijini Dodoma.

Pamoja na kutangaza kurejea kwake, bado ameonesha wasiwasi juu ya mambo mbalimbali yasiyo ya kawaida yanayoweza kutokea wakati huo. Hata hivyo, anaamini kuwa Mungu anaiwazia mema nchi hii.

"Ninafahamu kwamba, licha ya ahadi ya Mheshimiwa Rais na licha ya utayari wangu na wetu, siku zijazo hazitakuwa rahisi. Ninajua kuwa tutakabiliwa na majaribu ya kila aina na tutapitishwa katika tanuru kubwa la matatizo na magumu mengi."

“Mwenyezi Mungu anatuwazia sisi Watanzania “mawazo ya kutustawisha na wala sio ya kutuumiza, mawazo ya kutupa tumaini kwa siku zetu zijazo. Tukiweka nia ya dhati na kuitekeleza kwa dhati, tutayashinda majaribio na magumu yaliyo mbele ya safari yetu."

Chanzo: Twitter Spaces (Tundu Lissu)
TL Mungu ambariki sana
 
Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia...
Unafahamu mahusiano ya acacia na barrick?

Unaelewa kwanini aliyemtongoza Magufuli mpaka kukubali kishika uchumba cha usd 300 mil ni ceo wa barrick badala ya acacia?

Unafahamu tungelipwa usd 191 bil ambazo magufuli alisema tumeibiwa leo serikali isingekuwa inakopakopa?
 
Kuwepo ushoga tangu enzi za Ibrahim si habari mpya; habari mpya ni watu kuhongwa € 50m kuja kuhamasisha ushoga.

Lipi gumu hapo kueleweka kwako?
Lete video/chochote hapa kinachomuonesha Lissu akihamasisha ushoga, kama huna basi wewe ni LIPUMBAVU FLANI TU HIVI linalochafua watu mitandaoni, Stupid
 
Back
Top Bottom