Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tayari jina lishakamata hilo hakuna tena njiaNa mama yao kawatangaza officially kuwa ni machawa.
Hii nchi ina maajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari jina lishakamata hilo hakuna tena njiaNa mama yao kawatangaza officially kuwa ni machawa.
Hii nchi ina maajabu sana
We usimfananishe binadamu na Yesu,Time for our Jesus lisu
Ushauri poa sana huu, atapata mileage kubwa mnoo ya kisiasa kama statesman na mkomavu kisiasa.Lissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake.
Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai.
Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone makaburi ya watu maarufu pamoja na kumsalimu Janeth. That will mean and attract love and set a reference point in humanity
Lissu team JkLissu ni Shujaa
Nitaunga mkono hoja yako endapo atathibitisha kuhusika kwake na tukio la kupigwa risasi wahusika lazima wapatikane siamini kama magu alishika hiyo bundukiLissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake.
Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai.
Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone makaburi ya watu maarufu pamoja na kumsalimu Janeth. That will mean and attract love and set a reference point in humanity
Kesi hii ingeendeshwa na wapelelezi huru wa kimataifaNi wakati muafaka wakupata wahalifu wote walio taka kutoa Roho yake,na sisi kwa yeye tu,na wote waliyoteswa enzi za Mwendazake
Kwani kabla hatujanyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji na kushitakiwa Miga, tulikuwa tunalipwa ngapi?Yaani makamu wa Rais avujishe Siri ilihali ndio alisimamia wizi wa madini miaka 20?? Uko serious kweli? Kama alivujisha mbona alipewa kesi ya uhujumu uchumi na akalipa almost billion 2 ndio akaachiwa?? Informant wa JPM alitajwa siku Ile ile Wala hakua Mwanyika.
Kingine kunyolewa ni sababu tulisalimu amri Kabudi aliomba mabeberu wafute kesi na wao wafute kesi Ili waunde kampuni tanzu. Ndio ikaundwa kampuni mpya ambako mabeberu Wana 84% hisa huku Makinikia yakisafirishwa nje kama Kawa na Tanzania tukiambulia mrabaha wa 6% hivi!!!
Kipi Cha ajabu hapo?? Kama JPM angekua kidume angewadindishia walipe zile trillion 300 au wangegawana hisa 50-50!!
Hata kama,tulinyolewa na vipande vya chupa pasipo maji na accecia na kufirisiwa,kama mwanasheria Lissu alivyokuwa anatuaminisha?hayo mambo ya tulipata kidogo kuliko tulichotarajia hayo hayana shida kwani hata mwanzo kwenye tawala zilizo pita hatukuyapata na maisha yalisonga, lakini je tulishitakiwa Miga na kunyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji kama Lissu alivyokuwa anatuogopesha watanganyika?..tumechezewa akili tu.
..acacia hawakufutwa bali wamerudi kuwa chini ya barrick 100%.
..pia kufurahia kulipwa usd 300 kidogokidogo wakati tulihakikishiwa tunadai usd 191 billion ni ujuha.
..suala la Mwanyika kawadanganye uv-ccm, mataga, na sukuma gang.
Hata kama,tulinyolewa na vipande vya chupa pasipo maji na accecia na kufirisiwa,kama mwanasheria Lissu alivyokuwa anatuaminisha?hayo mambo ya tulipata kidogo kuliko tulichotarajia hayo hayana shida kwani hata mwanzo kwenye tawala zilizo pita hatukuyapata na maisha yalisonga, lakini je tulishitakiwa Miga na kunyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji kama Lissu alivyokuwa anatuogopesha watanganyika?
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli...kunyolewa bila maji ni vijembe tu vya wanasiasa.
..je, huna taarifa kuwa acacia waliishtaki serikali ya Tanzania?
..kama unaamini kulipwa usd 300 mil badala ya usd 191 bil ni ushindi hakuna namna ya kukusaidia.
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli.
Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia wakati walikwenda Miga na kushinda kesi?wadanganye Chadema wenziwe wanaokamatwa masikio na lisu...Nimekuuliza kama unafahamu kuwa acacia waliishitaki serikali mahakamani.
..Kama hatukuoga kwanini tulikubali usd 300 mil badala ya usd 191 bil tulizohakikishiwa kuwa ni haki yetu?
TL Mungu ambariki sanaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.
View attachment 2479728
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya Tanzania kwa mara nyingine tena siku ya Jumatano ya tarehe 25 Januari, 2023, majira ya saa saba na dakika 35 mchana." amesema
Ameongeza, “Kwa muda huo, ninatarajia kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia nikitokea Brussels, Ubelgiji, kwa kupitia Addis Ababa, Ethiopia. Nitafurahi sana kwa mapokezi yoyote siku hiyo."
Kuhusu suala la Katiba Mpya, Mhe. Lissu amesema “Kwa vyovyote itakavyokuwa, mwaka huu utakuwa mwaka muhimu sana katika historia ya nchi yetu. Ni mwaka ambao, kama tukiamua kwa dhati ya mioyo yetu, tutapata Katiba Mpya na ya kidemokrasia, yenye mfumo huru wa uchaguzi, inayojali na kulinda haki za wananchi na inayoweka misingi imara ya uwajibikaji wa viongozi wetu kwa wananchi na wawakilishi wao.”
Anarudi nyumbani kuja kushiriki katika kuandika ukurasa wa kwanza mpya wa kitabu chenye kurasa 365 cha mwaka huu wa 2023, anaamini kwamba, kwa umoja wetu na kwa mapenzi yetu kwa nchi yetu, tutaandika kitabu kizuri.
Mwanasiasa huyo machachari, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki ambae pia ni mwanasheria Nguli nchini alinusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi za moto na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 wakati vikao vya Bunge vikiendelea Jijini Dodoma.
Pamoja na kutangaza kurejea kwake, bado ameonesha wasiwasi juu ya mambo mbalimbali yasiyo ya kawaida yanayoweza kutokea wakati huo. Hata hivyo, anaamini kuwa Mungu anaiwazia mema nchi hii.
"Ninafahamu kwamba, licha ya ahadi ya Mheshimiwa Rais na licha ya utayari wangu na wetu, siku zijazo hazitakuwa rahisi. Ninajua kuwa tutakabiliwa na majaribu ya kila aina na tutapitishwa katika tanuru kubwa la matatizo na magumu mengi."
“Mwenyezi Mungu anatuwazia sisi Watanzania “mawazo ya kutustawisha na wala sio ya kutuumiza, mawazo ya kutupa tumaini kwa siku zetu zijazo. Tukiweka nia ya dhati na kuitekeleza kwa dhati, tutayashinda majaribio na magumu yaliyo mbele ya safari yetu."
Chanzo: Twitter Spaces (Tundu Lissu)
Ameen ameenKalibu nyumbani mwamba LISSU TUTAKULINDA KAMA MBONI YA MAJICHO YETU WASIOJULIKANA WATAKUJA KUJULUKANA TU
Mtanuna awamu hiiChadema ni chama wachaga wanamtumia tu Lissu kutafuta madaraka.
Uzuri watanzania wote wamestuka kasoro wanyaki na watu wa tarime ndio wanashobokea sana hao wachaga.
Unafahamu mahusiano ya acacia na barrick?Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia...
Lete video/chochote hapa kinachomuonesha Lissu akihamasisha ushoga, kama huna basi wewe ni LIPUMBAVU FLANI TU HIVI linalochafua watu mitandaoni, StupidKuwepo ushoga tangu enzi za Ibrahim si habari mpya; habari mpya ni watu kuhongwa € 50m kuja kuhamasisha ushoga.
Lipi gumu hapo kueleweka kwako?