Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

LISSU KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA

"Sikutoa salamu za mwaka sababu M/Kiti alikua na kikao na Rais @SuluhuSamia baada ya kikao nimeridhika Rais anania njema na Taifa letu, natangaza 25 Jan, 2023 itakua J/tano nitarudi Tanzania kufanya kazi ya demokrasia na Rais Samia" - Tundu Lissu
 
Akifika tupate ata kesi moja mahakamani iruke live. Tumekosa bashabasha za kisiasa bongo. Ngoja tuone huu mwaka kama tutazipata bila kuumizana
 
LISSU KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA

"Sikutoa salamu za mwaka sababu M/Kiti alikua na kikao na Rais @SuluhuSamia baada ya kikao nimeridhika Rais anania njema na Taifa letu, natangaza 25 Jan, 2023 itakua J/tano nitarudi Tanzania kufanya kazi ya demokrasia na Rais Samia" - Tundu Lissu
tunomba video clip kma ushahidi kuwa ametamka hayo
 
Chadema ni chama wachaga wanamtumia tu Lissu kutafuta madaraka.

Uzuri watanzania wote wamestuka kasoro wanyaki na watu wa tarime ndio wanashobokea sana hao wachaga.
Amka n smell coffee ☕, 2023 middle class wa kitanzania anaongolea ukabila!Zimbabwe 🇿🇼 inapeleka satellite 🛰 angani!
 
Hatimaye ndoto ya watanzania wapenda haki imetimia.

Makamu wamwenyekiti wa chadema mh Lissu atawasili nyumbani mnamo 25.1.2023.

Huu ni ushindi mkubwa sana kwa wapenda haki wa dunia.

Hili ni pigo kwa watesaji na waliojawa na visasi kama nyoka mwenye sumu kali.

Hongera mama Samia angalau hapa ulipoanzia panatia moyo.

Karibu sana mh Lissu.
hilda_newton_chadema_1673629707259938.jpg
 
Lissu kurudi ni jambo jema lakini sio kubwa Sana maana Tz ni kwao, ni nchi aliyopewa na Mungu wake.

Jambo kubwa ambako akifanikiwa kulifanya ni Kutangaza hadharani kumsamehe Marehemu Mwendazake na wote waliotaka kumdhulumu uhai.

Sambamba na msamaha huo, apange kwenda kutembea Chatho, akaone makaburi ya watu maarufu pamoja na kumsalimu Janeth. That will mean and attract love and set a reference point in humanity
Nashukuru umelitambua kuwa Lissu alikosewa na sasa unataka awasamehe waliomkosea. Lissu afanyi kwa ajili yake bali anafanya kwa ajili ya wataka haki wote, hivyo ni vyema familia ya aliyemkosea Lissu ndio imuombe Lissu msamaha ili iwe fundisho kwa wengine. Pia swala la laana lipo pale pale kama mtashupaza shingo basi laana hiyo itatembea kwa vizazi kadhaa.

Swala la Lissu lipewe uzito wake na tusilichukulie kwa wepesi hata kidogo. Waliopanga na kushiriki Lissu kupigwa risasi ni lazima wafahamike mchana kweupe na haitajalisha ni muda gani utapita.
 
Back
Top Bottom