Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Hivi!! Kwa kawaida mtu humchukua siku ngapi kujua kwamba, kitu anachokitafuta hakitawezekana kukipata ili pengine aachane nacho na aanze kujishughurisha na mambo mengine?

MMbona anapoteza muda huyu Kijana na mjuvi wa Sheria za Tz?
Kukata tamaa ni tabia ya watu goigoi...mtu imara hakat tamaa asilani!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu utauwa wanalumumba, jiwe fatuma ulilorusha kichakani limewagonga mpaka nec nao wametoka kwenye kichaka wanalia kama CCM kuwa unatukana kwenye mikutano yako
 
Asisau kuwakumbusha watu jinsi ahadi ya TANZANIA YA VIWANDA ilivyopotelea kusikojulikana wakati ilipigiwa promo sana. Mara tukaambiwa vimejengwa viwanda elfu 4+ lakini cha achajabu haijulikani vimejengwa wapi na walioajiriwa kwenye viwanda hivyo haijulikani ni kina nani, maana mpaka sasa vijana wetu wako mtaani tu.

Pia awakumbushe watanzania kwamba watoto wa masikini wakimaliza masomo wanaambiwa wajiajiri lakini watoto wao wanawapachika kwenye nafasi za nyeti serikalini na kwenye mashirika au kampuni mbalimbali.

Kama kujiajiri ni rahisi hivyo mbona wao na watoto wao wasionyeshe huo mfano?
 
Naomba kiukweli kila anapokanyaga azungumzie mafao ya hifadhi yajamii ccm wanakereka juu yahiyo hoja, lkn hawana pakuijibia.

Mkuu kabla ya kuhitimisha kampeni za mwaka huu tarajia Fao hili kutolewa ufafanuzi wa kurudishwa na yule aliyelifuta....ila Lissu ashikilie hapo hapo
 
Anaelekea mwishoni mwishoni keshapita sehemu maarufu maarufu za Chadema amebakiza majimbo machache tu kabla pumzi kukata na mikutano kuwa mitupu

Ukiangalia ratiba yuko ziara ya majimbo ambayo wagombea ubunge wake ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema ndimo anamozurura kwenye political tourism yake,Ni kama anaenda kuwasalimia hao wajumbe wa kamati kuu
 
Mkuu kabla ya kuhitimisha kampeni za mwaka huu tarajia Fao hili kutolewa ufafanuzi wa kurudishwa na yule aliyelifuta....ila Lissu ashikilie hapo hapo
Ha haa haaa
 
Kampeni mikakati!!
 
Asante mkuu tuko pamoja
 
Hiloooo halina sera karibia linakata moto na limwenyekiti lenu limeishiwa agenda!
 
Mpaka sasa ukiangalia kwa umakini ameibalance nchi kaenda kusin ,kat kaskazn ,masharki na magaribi..je mwingne amekwenda wap na wapi? Ok pamoja na haya kuhoji mgombea ameenda wap na wap ni ukanda chamsingi je Sera zake znatuunganisha kuwa wamoja kama Taifa ama lah? Pia je Sera zake ztaleta Tija katika maisha yetu?Yehodaya andika vitu vya msingi kiongozi!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kumkataa Lissu ni kuikataa HAKI.

Twende na TLS sio Muuaji, Mnyang'anyi , Mtekaji na Mtesaji Pombe.
 
Video : mbalizi asubuhi
 

Attachments

  • Mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu Jimbo la Mbali ( 422 X 750 ).mp4
    3.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…