Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Ni vigumu sana Lissu kuachia njiani hii kampeni japokuwa yeye mwenyewe, Viongozi wa Chadema na wanachama wote wanajua wanapoteza muda wao uchaguzi wa mwaka huu 2020.
Lakini ruzuku itapatikana vipi ya kukiendesha chama na kugharamia shuguli za siasa?
Kuna uwezekano mkubwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020, Chadema wasipo kuwa na uvumilivu wa kuendesha chama kwa kujitolea, tuna weza kushuhudia viongozi waliopo madarakani wakakiua chama kwa mikono yao.
Uzuri uongozi wa juu kabisa wa chama hakuna shule, kwa hiyo opportunities za kupata kipato njee ya wanachokifanya sasa hivi ni mdogo kwa hiyo lazima wang'ang'anie chamani.