Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Acha kuuliza maswali ya kitoto!
Kama unataka kusikia Sera za CHADEMA msikilize vzr Mhe. Tundu Lissu. Kuhoji ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chattle na Mbuga ya Wanyama Burigi siyo Sera bali ni kukosoa Utawala wa Jiwe!
Sera ya CHADEMA imejikita kwenye UHURU, HAKI & MAENDELEO....Upo?
Kuhoji ujenzi wa uwanja wa ndege na mbuga ndio sera ya chadema?
 
MARUFUKU YA SHERIA YA UCHAGUZI:
1. Kutoa ahadi katikati ya kampeni kwa kutumia kofia ya madaraka au cheo chako ilihali wewe ni mgombea.
2.Kukataza watu wasichague wagombea wa kabila lingine, na wawabaguwe na kukuchagua wewe wa kabila lao.
3.Kutisha watu wasichague viongozi wa kutoka upinzani ukiwaambia kuwa hutapeleka maendeleo.
4.Kuamuru shule zifungwe na wanafunzi wote waswagwe kupelekwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za kisiasa.
5.Kuahidi watu na wapiga kura wako vyeo vya kiserikali ilihali bado uchaguzi haujafanyika na wala mshindi hajatangazwa.

Laiti tungelikuwa na mahakama ya kikatiba kama wenzetu wa kenya au Ghana, moja tu ya hoja hizi ilitosha kufungia kampeni za mgombea husika na hata kama angeshinda, bado hoja hizi zingebatilisha ushindi asubuhi na mapema! Hakika tunahtaji mno katiba mpya kuliko hata maelezo unayoweza kuyatoa!
Hizo ndo sera za chadema??!
 
Well said brother.
NEC ya CCM wanajifanya vipofu, viziwi na viwete katikati ya UKIUKWAJI HUU MKUBWA WA SHERIA YA UCHAGUZI unaofanywa na Rais Magufuli!!
Haiwezekani Mgombea anasema Kuna hela Bilioni kadhaa zimetengwa kwa ajili ya Barabara, Zahanati au Shule......!!Hayo alitakiwa awe ameyafanya ndani ya 5 years na si Vinginevo. Anachotakiwa sasa ni kutoa ahadi atafanya nini na siyo kudai hela ipo....Bunge lilishavunjwa kujiandaa na Uchaguzi. Full stop.
 
Kama ukweli ndio matusi,basi tunamuagiza Lissu aendelee tu na "matusi yake ya nguoni". Ni siku nyingine ya kusikia matusi
Wenye akili timamu tumekuelewa sana.

Tundu Lissu aongeze dose ya matusi hadi macho ya kabudy yadondoke chini kabisa kwa mshangao.
 
M

mlishawahi kuitisha tenda huo uwanja?
Comrade unajua kuna aina ngapi za tenda katika miradi ya ujenzi??? Nikusaidie kidogo
1. Open tender
2. Limited tender
3. Selected tender
4. Negotiation tender
5. Pre-qualification tender.

Lissu anawalisha matango pori anajua wafuasi wake sio wafuatiliaji wa mambo.
 
K

kabla sijakujibu nikuswalike swali... hii tenda UWANJA WA CHATO ilitangazwa ?
 
Back
Top Bottom