Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Jana hiyo
Tunampa y
Tunampa y
Safi sana hii......Huyu Lissu amekuwa mwiba kwa jiwe. Jiwe kila siku anavuliwa nguo
Mahali popote alipo anatamani afe tu.Kulaaniwa haitoshi! Afe huyo mbwa.
Badala achutame anazidi kukimbizana naye mtaa mzima anaonekana kama kichaaHuyu Lissu amekuwa mwiba kwa jiwe. Jiwe kila siku anavuliwa nguo
Mkuu inatia hasira mno. Hela yako mwenyewe huruhusiwi kuitumia. Yani wapo tayari uadhirike na shida wakati hela yako ipo. Huyu jamaa huyu katukosea sana watanzania.Hii issue huwa inaniuma sana. Hela zangu halafu nanyimwa eti mpaka nifikishe 55yrs! Kuna mtu namchukia sana, kila siku namwombea afe kabla yangu ili nikalikojolee kaburi lake.
Kama ukweli ndio matusi,basi tunamuagiza Lissu aendelee tu na "matusi yake ya nguoni". Ni siku nyingine ya kusikia matusi
Hivi!! Kwa kawaida mtu humchukua siku ngapi kujua kwamba, kitu anachokitafuta hakitawezekana kukipata ili pengine aachane nacho na aanze kujishughurisha na mambo mengine?
MMbona anapoteza muda huyu Kijana na mjuvi wa Sheria za Tz?
Swali la nyongeza, inatumia muda gani mtu kutambua kwamba ameshikwa pabaya na TAL ndo mpango mzimaaaa???????!Hivi!! Kwa kawaida mtu humchukua siku ngapi kujua kwamba, kitu anachokitafuta hakitawezekana kukipata ili pengine aachane nacho na aanze kujishughurisha na mambo mengine?
MMbona anapoteza muda huyu Kijana na mjuvi wa Sheria za Tz?
Kama yule chizAnaelekea mwishoni mwishoni keshapita sehemu maarufu maarufu za Chadema amebakiza majimbo machache tu kabla pumzi kukata na mikutano kuwa mitupu
Ukiangalia ratiba yuko ziara ya majimbo ambayo wagombea ubunge wake ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema ndimo anamozurura kwenye political tourism yake,Ni kama anaenda kuwasalimia hao wajumbe wa kamati kuu
Kama yule mpora KOROSHO za wanyonge anavyozurura kwai kanda ya ziwa???Anaelekea mwishoni mwishoni keshapita sehemu maarufu maarufu za Chadema amebakiza majimbo machache tu kabla pumzi kukata na mikutano kuwa mitupu
Ukiangalia ratiba yuko ziara ya majimbo ambayo wagombea ubunge wake ni wajumbe wa kamati kuu ya Chadema ndimo anamozurura kwenye political tourism yake,Ni kama anaenda kuwasalimia hao wajumbe wa kamati kuu
AibuBadala achutame anazidi kukimbizana naye mtaa mzima anaonekana kama kichaa
Hizo ndo sera za chadema??!Ccm , cccm ccm
Ahaa ahaaa ahaaa aaa
Chama cha wapumbavu ccm namba moja
Na wajinga wanajua ccm namba one
Na matahira wanajua ccm namba one
Ccm ccm,ahaaa ahaaaa chama cha wapumbavu ccm namba one
Inakera sana ,watu watapiga kura za hasira kumwadhibu Bwana mkubwa
Hizo ndo sera za chadema?CCM, NECCM na MAGUFULI wameshindwa kujibu HOJA za Mhe. Tundu Antipas Lissu badala yake wanalazimisha na kutaka kutengeneza mazingira ya " MATUSI" kwa UKWELI wanaopewa.....!!
Shame on NECCM, CCM and your godfather Jiwe!!!
Ujinga huu sehemu zote zilizo andikwa CCM ingekuwa CHADEMA ungekuta ban ila kwakuwa MODs huwa wapo upande mmoja ndio maana imeachwa mpaka sasa.Ccm , cccm ccm
Ahaa ahaaa ahaaa aaa
Chama cha wapumbavu ccm namba moja
Na wajinga wanajua ccm namba one
Na matahira wanajua ccm namba one
Ccm ccm,ahaaa ahaaaa chama cha wapumbavu ccm namba one
Inakera sana ,watu watapiga kura za hasira kumwadhibu Bwana mkubwa
Kama yule chiz
Kama yule mpora KOROSHO za wanyonge anavyozurura kwai kanda ya ziwa???
Tuko pamoja kamanda [emoji111][emoji111]Kontinyuuaaa
Hizo ndo sera za chadema?