Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

Comrade unajua kuna aina ngapi za tenda katika miradi ya ujenzi??? Nikusaidie kidogo
1. Open tender
2. Limited tender
3. Selected tender
4. Negotiation tender
5. Pre-qualification tender.

Lissu anawalisha matango pori anajua wafuasi wake sio wafuatiliaji wa mambo.
 
K

kabla sijakujibu nikuswalike swali... hii tenda UWANJA WA CHATO ilitangazwa ?
Comrade sio kila tenda inatangazwa ndio maana nimekuonesha aina mbali mbali za tenda zinazotumika kwenye shughuli za ujenzi.
 
Kuwaita watu toto jinga ndio sera ya chadema? Ipo kwenye ilani yenu?
CHADEMA haitaacha kuhoji upuuzi unaofanywa na NEC CCM na madudu ya Serikali yenu ya Jiwe. Narudia tena hoja siyo Sera.
Sikiliza na hii:


CCM na Magufuli safari hii jasho linawatoka.!!Tundu Lissu siyo mtu wa mchezo mchezo na pengine ndo maana mlitaka kumwangamiza ili asiwasumbue kama anavowapa taabu sahivi.....!!!
 
Huyu jamaa wamyendee haki tu.

Hapa namaanisha hata kama ni kuiba,aibiwe kihaki haki.

Hatutaki shida sie wananchi. Hii ndiyo ardhi yetu ugenini hatukutaki.
 
Kama una akili timamu na unawatakia mema vizazi vyako huwezi kuwapigia kura wakoloni weusi wanyonyaji wa CCM .
 
Ccm , cccm ccm
Ahaa ahaaa ahaaa aaa

Chama cha wapumbavu ccm namba moja

Na wajinga wanajua ccm namba one

Na matahira wanajua ccm namba one

Ccm ccm,ahaaa ahaaaa chama cha wapumbavu ccm namba one

Inakera sana ,watu watapiga kura za hasira kumwadhibu Bwana mkubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CHADEMA haitaacha kuhoji upuuzi unaofanywa na NEC CCM na madudu ya Serikali yenu ya Jiwe. Narudia tena hoja siyo Sera.
Sikiliza na hii:


CCM na Magufuli safari hii jasho linawatoka.!!Tundu Lissu siyo mtu wa mchezo mchezo na pengine ndo maana mlitaka kumwangamiza ili asiwasumbue kama anavowapa taabu sahivi.....!!!

Amina
 
Back
Top Bottom