Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.