Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mimi na washamba wapi na wapi?Karibu hapa Target tunapata kinywaji mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na washamba wapi na wapi?Karibu hapa Target tunapata kinywaji mkuu!
Njoo nikufundishe adabu hutasahau kwamba mimi ni Mshamba kwa TindoMimi na washamba wapi na wapi?
Pesa ninazo za kutosha ndio maana nipo nakula raha tu hapa Dar kwa Watani zangu Wazaramo kesho naenda Mwanza then Geita kusaka pesa.Si ndio maana nakuambia mimi na washamba wapi na wapi? Bado unaamini kwenye kufundishana adabu badala ya kusaka pesa?!
Huko Geita ndio panakufaa maana ni kwa mapeasant wenzako. Hapa mjini tunakula starehe taratibu, hatuna muda wa kufundishana adabu. We nenda kapambane huko porini, sisi hela zetu ni za uhakika kwenye viyoyozi hapa mjini.Pesa ninazo za kutosha ndio maana nipo nakula raha tu hapa Dar kwa Watani zangu Wazaramo kesho naenda Mwanza then Geita kusaka pesa.
Asante ngoja sisi watu wakuja tuende porini kwetu.Huko Geita ndio panakufaa maana ni kwa mapeasant wenzako. Hapa mjini tunakula starehe taratibu, hatuna muda wa kufundishana adabu. We nenda kapambane huko porini, sisi hela zetu ni za uhakika kwenye viyoyozi hapa mjini.
Ni kama mmechelewa hivi, maana mnatumalizia tu hii hewa mwanana ya bahari.Asante ngoja sisi watu wakuja tuende porini kwetu.