Kesi moja tu waliwahi shinda zama za Magufuli na mtu mmoja tu ndio alikuwa mkorofi alishindwa South Africa, akakimbilia CANADA.
South Africa ilikuwa raisi hatukuwa nao kwenye makubaliano ya arbitration (serikali ilikuwa na uwezo) wa kudai fidia za gharama za legal costs and damages on loss of businesss, hawakufanya.
Nina uhakika wa 100% argument waliyotuma South Africa waliokota JF kupitia kwangu.
Walipoenda CANADA tukawaanbie huko arguments na Bombardier kesi inataka purchase agreement na Bombardier ndege aijakabaziwa kwa mkataba wa manunuzi wao wakaenda na akili zao.
Mimi binafsi sishindwi kesi hata moja ya serikali inazoshindwa. Sikulazimishi uamini na Lissu hana anachojua kwenye kesi za mikataba alikuwa kichefu-chęfu tu katikati ya vita.
Sasa ninaposema hata Kabudi ni kwa sababu kwenda kwenye hiyo mikataba lazima uwe na abc za biashara/finance. Background ambazo hawana na lazima washindwe hizo case.