Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Jitahidi kuvumilia ukweli.Shetani ni mama yako aliyekuzaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuvumilia ukweli.Shetani ni mama yako aliyekuzaa.
Niliwahi muuliza Mwenyekiti mmoja wa CCM wa Mkoa,akaniambia kuwa mwenye akili hawezi kubali ujira wa 5000 kwa siku na MBs.Hivi watu wa propaganda wenye akili hawapo?
Lakini si hayo ni mawazo yako ndugu? Na ukiwa na mawazo fulani si lazima yawe kweli.Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Hilo tumuachie mama janet kuamua. Maoni yetu hayana maanaDunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
of course yeye ndiye alikuwa wa kwanza kutangaza kifo. nadhani atataka aende pale akalitukane kaburi wee matusi yote ya nguoni. ukweli ni kwamba jiwe alikuwa katili sana.Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Kweli, lisu anatafuta kiki tu.Lissu anatafuta kiki tu!
Kwa nini uende kwenye kaburi la mtu ambaye unadai alitaka kukuua na ambaye ulifurahia kifo chake?
Lissu aache hizi stunts za bei rahisi.
Au kaishiwa sera?
Alishaenda na Cardinal Mstaafu 😂Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Anakwenda kujiridhisha kama kweli he diedLeo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Kama hutaki aende bac nenda wwDunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Ajabu kweli kweli yaani amekazana kwenda kutaka kwenda kutembelea kaburi la mtu ambae kila siku anamtukana.
Hakifika hapo hakuna jema atakalo sema zaidi ya kumtukana tu kimya kimya tu.
Ni sawa na kupambana na upepo when you try to fight the great JPM even though he is six feet under...Haiingii akilini kwamba Lissu alishambuliwa na Task Force bila Magufuli kuwa ameidhinisha.
..Kinachotakiwa kufanyika ni watu wa Magufuli KUMSAFISHA bosi wao na kashfa hii.
..Lissu was a big target. Task force wasingeweza kumuendea bila kupata clearance toka juu kabisa.
..Wewe hujiulizi kwanini Polisi hawamhoji Tundu Lissu pamoja na kuwa nchini muda mrefu? Kisingizio si kilikuwa Lissu hayuko nchini?
..Msimlaumu Lissu, bali walaumuni watu wa Magufuli walioshindwa kumsafisha bosi wao asihusishwe na njama hizi mbaya zilizofeli dhidi ya Tundu Lissu.
Ni sawa na kupambana na upepo when you try to fight the great JPM even though he is six feet under.
Utamaduni wa serikali kwenye ku-deal na watu ni ule-ule. Kwa watu wanao onekana nonsense katika maamuzi yao muhimu.
Zama za JK kulikuwa na Dr. Ulimboka kwenye kuchochea mgomo wa madaktari; baadae ikaja kifo cha Dr. Mvungi kujifanya anaijua sana katiba. Hakukuwa na makelele kwa sababu hao watu hawakuwa wanasiasa na JK hakuwa tishio la majizi.
Lissu was nonsense I have told you before hakuna habari za MIGA na wala hajui contract law zaidi ya nyie watu kumkuza tu.
Lissu hashindi kesi ya biashara kama source ya mgogoro ni consideration ya mkataba. Anaongea upuuzi tu wa kuwachota watu kama nyinyi.
Mwisho wa sakata la ACCACIA ilikuwa parent company Barrick Gold (majority shareholders) kununua shares zingine za minority, kuichukua kampuni na kuja ku-negotiate terms mpya na serikali wao wenyewe (though we didn’t get a good deal in the end) ni kutokana na uwezo mdogo wa negotiators wa serikali.
Nonetheless kwenye siasa za mikataba when it comes to forceful renegotiations kuna wasaa inabidi utumie nguvu kubwa sana including overestimates ya income ili muwekezaji harudi mezani (kama umesoma mambo ya negotiations ndio utaelewa).
Wakati watu wapo kwenye vita yao, lenyewe Lissu limekadhana na ujinga wake. Hata alipoonywa mara kadhaa huku tuwache tufanye yetu haelewi somo, worst anaongea upumbavu unaopotosha na kwa uelewa ana audience ya watu kama nyie wa ku-promote ujinga wake (kwa vitu msivyovielewa) mradi Lissu kasema.
Siafiki kilichompata, Iła Lissu aliichokoza sana serikali wakati wenzake wana angaikia serious matters. Nchi nyingine yeyote duniani wangemshughulikia kwa ujinga wake.
Sasa sielewi leo kwanini analilia kwenda kwenye kaburi la Magufuli si aende Mtwara (Lupaso) kwa Mkapa, Butiama kwa Nyerere, Zanzibar kwa Mwinyi; kwanini alilie kwenda kwenye kaburi la mtu aliekuwa anamtukana kila siku kama sio kwenda kuroga na wanyaturu kwa uchawi wanajulikana.
Aachane na Magufuli huyo mwanga mkubwa.
Lisu ndio mchokoziKati ya magufuli na tundu lissu nani alianza kumkosea mwenzake?
Kwavipi?je ukitetea rasilimali za taifa inakupasa kuuwawa?Lisu ndio mchokozi