Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushoga choko wewe ndio maana tunasema Bora ccm iongoze milele kuliko nyie mazombiTundu anataka kwenda kuona alipolala shetani aliyetaka kumuua lakini Mungu akaamuwa kumuondoa shetani huyo duniani baada ya kumuokoa lisu na risasi za shetani hilo.
Lisu anataka kwenda kuona lilipofukiwa shetani hilo hapa duniani wakati lipo motoni linaungulia
Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake...
HatariAcha ushoga choko wewe ndio maana tunasema Bora ccm iongoze milele kuliko nyie mazombi
Lisu ana enda tembelea Kaburi la Magufuli kwa sababu ya haya hii:Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake...
Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lisu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Kwa Tundu Lissu alipigwa risasi kipindi cha Uongozi wa nani? Labda anaenda kutangaza kusamehe kwa yote aliyofanyiwa kipindi cha Uongozi wake.Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lisu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Wanaotembelea Magufuli wanaitambua falsafa yake ya uongozi. Sasa wew bumunda moja kutoka kikosi cha Nepi wala huna impact yoyote hapa nchini.Hata Kigogo alisema ataenda.
Alisema ataenda kunya kwenye kaburi lake.
Sionkila anaekwenda ni kwqsababu alimpenda.....wengine tunaenda kunya na kukojolea kaburi.
Familiar ya Magufuli tu ndiyo yenye mamlaka ya kumzuia mtu kuzuru kabuli la Magufuli. Mwingine yeyote hana mamlaka hayo.Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.
Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu hawafahamu lolote kuhusu dunia hii.
Magufuli bado atabaki kuwa rais wa mfano kwa Afrika.
Unafikiri Lissu hajawahi kuzuru kaburi la Magufuli? Mbona mwaka jana alipoenda Chato kabla ya kuhutubia pale stendi za zamani alienda kuzuru lile kaburi?
Mimi mwenyewe Magufuli sikumpenda kabisa lakini nilienda kuzuru kaburi lengo likiwa kuona mahala alipolala Kiongozi katili na mpumbavu kuliko wote waliotokea Tanzania.
Pole sana mzee wa cheti feki serikali ya magufuli ilikua haitaki mbumbumbu nUnafikiri Lissu hajawahi kuzuru kaburi la Magufuli? Mbona mwaka jana alipoenda Chato kabla ya kuhutubia pale stendi za zamani alienda kuzuru lile kaburi?
Mimi mwenyewe Magufuli sikumpenda kabisa lakini nilienda kuzuru kaburi lengo likiwa kuona mahala alipolala Kiongozi katili na mpumbavu kuliko wote waliotokea Tanzania.
Wewe binafsi pamoja na ukoo wenu wote ni mashetani .Shetani ni mama yako aliyekuzaa.
Mzee wa cheti feki halafu bado Niko kazini? Au mpaka nimtibu mama yako fistula ndo uamini Niko kazini? Mlete basi.Pole sana mzee wa cheti feki serikali ya magufuli ilikua haitaki mbumbumbu n
Pole sana maisha yanakupiga kutokana ni mbumbumbu magufuli alikua hataki mbumbumbu kama nyie ndio maana mnamchukia wazee wa vyeti fekiiiiMzee wa cheti feki halafu bado Niko kazini? Au mpaka nimtibu mama yako fistula ndo uamini Niko kazini? Mlete basi.
Last time alipotembelea kaburi la Magufuli alisimama kusema kuwa baada ya kifo chake zilikutwa dola nyingi sana zimefichwa nyumbani kwqke ChatoDunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake.