Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

Njoo nikufundishe adabu hutasahau kwamba mimi ni Mshamba kwa Tindo
Si ndio maana nakuambia mimi na washamba wapi na wapi? Bado unaamini kwenye kufundishana adabu badala ya kusaka pesa?!
 
Pesa ninazo za kutosha ndio maana nipo nakula raha tu hapa Dar kwa Watani zangu Wazaramo kesho naenda Mwanza then Geita kusaka pesa.
 
Huko Geita ndio panakufaa maana ni kwa mapeasant wenzako. Hapa mjini tunakula starehe taratibu, hatuna muda wa kufundishana adabu. We nenda kapambane huko porini, sisi hela zetu ni za uhakika kwenye viyoyozi hapa mjini.
 
Asante ngoja sisi watu wakuja tuende porini kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…