Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
I have the dictionary, which clearly defines Lissu as a non- presidential material! I suggest, you better revisit your dictionary too.
Wewe mbona umetahiriwa Kwa msaada wa marekani na bado huku kanda ya ziwa huduma inaendelea bado huamini kama hawa jamaa ni muhimu
Tunawasugua na kuwasila tarehe 28 andaeni mipododo hioSugu kasha wasugua nini.akili zime anza kupotea
SUBIRI KIDOGO
Sasa Nina Amin kwa asilimia 100 Mh Tundu Lissu ndiye Rais mpya wa Tanzania.View attachment 1587897
Mnapoenda kuomba pesa za ukimwi,rea,na miradi kibao,na nakisi ya bajeti yenu,mbona huwa hamuwazi mambo yenu ya ndani,Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa Nina Amin kwa asilimia 100 Mh Tundu Lissu ndiye Rais mpya wa Tanzania.View attachment 1587897
Mnapoenda kuomba pesa za ukimwi,rea,na miradi kibao,na nakisi ya bajeti yenu,mbona huwa hamuwazi mambo yenu ya ndani,
Ukiomba usaidiwe kwenye bajeti yako ya kuendesha uchumi,uwe mpole wakubwa wanapokuingilia kwenye uchaguzi wako wa kisiasa,
Kama unakubari kupokea pesa bure,uwe mpole,unaposhauriwa.
Soma Hiyo......Vp huko? Bado tu?
Yaani CCM wakubali tu hili game limeshakuwa tough na Polisi naona dizaini kama wanawatosa hivi maana NEC wameshapowa.
Mungu Baba ulisema katika vitabu vyako vitakatifu: HAKI HUINUA TAIFA....... Lakini CCM hawalijui hili wanajichanganya changanya tu
Tundu Lissu ubarikiwe raisi wetu 2021Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Si utamsikia? Vuta subiraNimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.
Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.
Maendeleo hayana vyama!
Nyie za kwenu zipo makalioni vibaka wakubwa nyieHivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Bob Amsterdam anakwambia stay tuned. π π πThis time around ile methali maarufu ya Kiswahili isemayo"Siku ya kufa Manyani miti yote inateleza...".
Maccm mwaka huu ndo Manyani wetu!!
Stay tuned. Yajayo ni burdan tosha!
Mleta mada ni mccm mwenzakoLisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu
Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo