Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Presidential - kula pesa ya rambirambi, kutukana akina mama, dada na wanawake kwa ujumla kwenye majukwaa ya kisiasa, kuhonga wapinzani kwa kumtumia Mnyeti, kutuma watu kuuwa wapinzani wako, kutishia wapiga kura kuwa hautawapa huduma wakichagua wapinzani wako... That is now presidential, isn't?
I have the dictionary, which clearly defines Lissu as a non- presidential material! I suggest, you better revisit your dictionary too.
 
Sasa Nina Amin kwa asilimia 100 Mh Tundu Lissu ndiye Rais mpya wa Tanzania.
20201002_113724.jpg
 
Wewe mbona umetahiriwa Kwa msaada wa marekani na bado huku kanda ya ziwa huduma inaendelea bado huamini kama hawa jamaa ni muhimu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....nafa mie kwa kicheko!!
  1. Kutahiri magovi kupunguza maambukizi ya....!
  2. Msaada wa Dawa kufubaza Virus vya miwaya...!!
Halafu mtu anawaita eti Mabeberu....Pumbaf
 
Sasa Nina Amin kwa asilimia 100 Mh Tundu Lissu ndiye Rais mpya wa Tanzania.View attachment 1587897

Hapa nilipo napiga uluxi na vigelegele kana kwamba Mhe. Tundu Antipas Lissu amekwisha apishwa kuwa Rais wa JMT...!!!!
TUKISEMA LISSU SIYO MTU WA MCHEZO MCHEZO MAFISI WANAGUNA....!!!
Natamani hizi Kampeni ziendelee mpaka 2025......najisikia vzr sana aise😁😁
2537223_20201002_113724.jpg
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Mnapoenda kuomba pesa za ukimwi,rea,na miradi kibao,na nakisi ya bajeti yenu,mbona huwa hamuwazi mambo yenu ya ndani,
Ukiomba usaidiwe kwenye bajeti yako ya kuendesha uchumi,uwe mpole wakubwa wanapokuingilia kwenye uchaguzi wako wa kisiasa,
Kama unakubari kupokea pesa bure,uwe mpole,unaposhauriwa.
 
Sasa Nina Amin kwa asilimia 100 Mh Tundu Lissu ndiye Rais mpya wa Tanzania.View attachment 1587897

Yaani CCM wakubali tu hili game limeshakuwa tough na Polisi naona dizaini kama wanawatosa hivi maana NEC wameshapowa.
Mungu Baba ulisema katika vitabu vyako vitakatifu: HAKI HUINUA TAIFA....... Lakini CCM hawalijui hili wanajichanganya changanya tu
 
Mnapoenda kuomba pesa za ukimwi,rea,na miradi kibao,na nakisi ya bajeti yenu,mbona huwa hamuwazi mambo yenu ya ndani,
Ukiomba usaidiwe kwenye bajeti yako ya kuendesha uchumi,uwe mpole wakubwa wanapokuingilia kwenye uchaguzi wako wa kisiasa,
Kama unakubari kupokea pesa bure,uwe mpole,unaposhauriwa.

Wamerekani Wana kamsemo kazuri sana....."THERE IS FREE LUNCH".
Sijui kama Mafisi ya Lumumba mnaelewa maana ya sentenso hii fipi ya Kimombo....🤣🤣
 
Yaani CCM wakubali tu hili game limeshakuwa tough na Polisi naona dizaini kama wanawatosa hivi maana NEC wameshapowa.
Mungu Baba ulisema katika vitabu vyako vitakatifu: HAKI HUINUA TAIFA....... Lakini CCM hawalijui hili wanajichanganya changanya tu

This time around ile methali maarufu ya Kiswahili isemayo"Siku ya kufa Manyani miti yote inateleza...".
Maccm mwaka huu ndo Manyani wetu!!
Stay tuned. Yajayo ni burdan tosha!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF

=======
Tundu Lissu ubarikiwe raisi wetu 2021
 
Yes, ni vizuri kabisa mabalozi wakajulishwa tathmini ya mambo inavyokwenda! Wasibaki kulishwa matangapori wakati mambo na mizania ya haki sio shwari! Tuko kwenye kampeni, bendera na mabango ya picha za mgombea mmoja zimetapanywa nchi nzima na zinaheshimiwa na wananchi wote, huku bendera za chama kingine zikishushwa tena chini ya usimamizi wa polisi! Misafara ya Wagombea wengine wanapigwa mabomu na kuzuiwa kufanya kampeni huku chama kingine kikitapanya misafara ya kukifanyia kampeni hata ya watu wasiokuwa wagombea na wala ratiba zao hazitambuliwi na NEC! Mgombea wa chama kingine anahubiri ubaguzi, anatoa rushwa ya ujenzi wa huduma na miradi katikati ya mkutano, anatisha na kutia hofu wananchi lakini si tume wala vyombo vya dola vinavyomkemea!
 
Nimemsoma mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lissu katika ukurasa wake wa twitter akisema leo anaendelea na ratiba yake ambapo amepanga kuonana na mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini.

Najiuliza Tundu Lisu anataka kuongea nini na mabalozi katikati ya uchaguzi?
Uchaguzi ni jambo la ndani ya nchi.

Maendeleo hayana vyama!
Si utamsikia? Vuta subira
 
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Nyie za kwenu zipo makalioni vibaka wakubwa nyie
 
This time around ile methali maarufu ya Kiswahili isemayo"Siku ya kufa Manyani miti yote inateleza...".
Maccm mwaka huu ndo Manyani wetu!!
Stay tuned. Yajayo ni burdan tosha!
Bob Amsterdam anakwambia stay tuned. 😁 😁 😁
 
Kuna watu hawatalala leo wakipeleleza Lissu kaongea nini na mabalozi!!

Safari hii ngoma ngodoigwa!!
 
Lisu muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili Mleta maada na Lisu wako acheni uongo kama ule mliodanganya ohh Lisu atafanya mdahalo mkubwa na Raisi wa Ghana kumbe uongo mtupu

Mleta mada na Lisu MNA pepo LA uongo
Mleta mada ni mccm mwenzako
 
Back
Top Bottom