Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

Huyu Lisu hata huko Chadema wamemchoka kwa sababu kila analoambiwa lazima abishe yeye anajua kila kitu na wengine wote hawajui sasa wamemuacha anendelee kama gari bobu lisilo na breki. Hivi kweli Tanzania ipo tayari kuongozwa na rais wa modeli ya Lisu?
Na huyu je?

1601840649218.png
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF.

=======
Up date au habari feki mkuu
 
Pia ataenda kuwambia kuwa IGP sasa ni Tawi rasmi la CCM kaamua kuwafanyia kampeni ccm bila aibu akisaidiana na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi.
Halafu akishateta nao ili iweje.Unajua kuna mambo mengine ya kipuuzi hayana mbele wala nyuma.
 
Presidential material the only man in Tanzania for now who fits for thatposition
 
kukutana na wazungu wakati huu wa kampeni itamuharibia jamaa...

A proof anatumika na weupe...

Ila waumini wake wanafurahia kila jambo..

Viva Magu 2020 to 2030
Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).

Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.

Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.

waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.

Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF.

=======
Ni yeye 2020
 
Kwanza kabudi anaendelea kuwa waziri wa mambo ya nje kinyume cha Sheria kwani bunge lilishavunjwa

Majibu hayo yana mantiki gani? Hivi Serikali inaweza kuendesha Nchi bila ya Baraza la mawaziri?
 
Back
Top Bottom