Nyomi iliyokalishwa kwenye viti? Unajua Kama viti vinaachiana nafasi? Unaona nyomi ya Chadema wakiwa wamesimama? Wanaachiana nafasi sawa na ile inayoachwa na viti?Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Hilo nyomi unaweza kuliljnganisha na nyomi lipi la Lissu tena Lissu anaenda kwenye viwanja vya uchochoroni hawezi kufanyia kwenye viwanja vikubwa kama vya mipira.Nyomi iliyokalishwa kwenye viti? Unajua Kama viti vinaachiana nafasi? Unaona nyomi ya Chadema wakiwa wamesimama? Wanaachiana nafasi sawa na ile inayoachwa na viti?
Hebu mfanye mikutano bila kupanga viti, au kuwakalisha chini tuone Hilo nyomi lenu.
hii haitusumbui kichwa, wengi wamefuata burudani ya bure kutoka kwa wasanii hapo...achilia mbali mnaowasomba toka vijijini kwa malori!.Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Kwani mmeshindwa kusomba na kuweka wasanii?hii haitusumbui kichwa, wengi wamefuata burudani ya bure kutoka kwa wasanii hapo...achilia mbali mnaowasomba toka vijijini kwa malori!.
Hahahaha mtanyooka tu Magufuli Baba Lao.
Lowa assa alishinda ule uchaguzi mbaba,ye badala ya kuhamasisha watu waingie road kudai haki akaenda kushitaki kwa TB Joshua,MAFURIKOOOO,lowasaaaaaaaaa
LOWASSA,mafurikooooooo
mwisho wa siku,chiiiiiiiiii jeeeeeesuuuuj.
Mkuu SHIKAMOO....Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.
Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
Wa yakoboMungu yupi?
Lala salama mabaki ya mwisho mwisho...Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
OkayWa yakobo
Changanya na watoto wa shulewamekuja kumwangalia harmonize ,halafu nusu hapo ni wanachama wa CCM Iringa nzima wamesombwa na malori,wapiga kura wetu ni wale kule nyuma wamekaa bila sare wanawachora tu
VIP kuhusu mama yakomama yako
Au ulifikiri mungu wa lugolaOkay
Hawa walianza kusombwa one day before kuja hapo, ukitaka uone uhalisia acha kusomba watu, imean tanfaza alafu kaa kimya uone 🔥!Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Mungu yupi?
Vipi mmekatazwa kuwasomba na NEC au?Hawa walianza kusombwa one day before kuja hapo, ukitaka uone uhalisia acha kusomba watu, imean tanfaza alafu kaa kimya uone 🔥!
MWAMBIENI OLE SABAYA KUNA SALAMU ZAKOKesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.
Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
Si umpelekee wewe?MWAMBIENI OLE SABAYA KUNA SALAMU ZAKO
AliyemponyaMungu yupi?
Wee sengng maji kmmm ww mama yko ana kuhudumia kwa ku£€aBangi za kuvutia chooni zinakudhuru, mama yako yuko hivyo