Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Hai kesho (Sept 29). Atarajiwa kufanya mikutano mitatu ndani ya jimbo hilo kama walivyofanya Slaa na Lowassa

hapo kwenye chopper ndio maccm hawataki kupasikia. Hamna namna,Lissu gonga spana, piga na nyundo. Washalegea ngiri maji hawa.....
 
Mamisukule hayanaga kumbukumbu, Lissu anadanganywa na watu wanaokuja kumuona mlemavu anayeng'ang'ania kuwa Rais wa nchi kwa huruma ya kupigwa risasi
Hujafa hujambika. Kesho yako huijui. Hicho Kilema hakuzaliwa nacho
 
 
Kesho Tuko Live na Rais wetu Lissu.

Wenye wivu wajinyonge.
 
Kuna wale wahuni huwa wanapewa gongo halafu waje kusumbua kampeni, saivi chadema iandae kikosi kazi maalumu kwa kuwadhibiti.... na wapewe dozi cocktail (fansidar, klorokwini mix na pawasefu) yani iwe kwamba wakiona bendera ya chadema wanakimbia.
 
MAFURIKOOOO,lowasaaaaaaaaa

LOWASSA,mafurikooooooo

mwisho wa siku,chiiiiiiiiii jeeeeeesuuuuj.
Mkuu unafurahia wizi Wa kura.mwaka huu hakuna chiiiiiiii,tunabanana mpaka kieleweke .Lowassa alimpiga magu,ndo maana baada ya kuwa Rais akaanza kuwanyanyasa wananchi sababu anajua hawakumchagua alipora ushindi Wa zezeta Edo..
 
Mkuu unafurahia wizi Wa kura.mwaka huu hakuna chiiiiiiii,tunabanana mpaka kieleweke .Lowassa alimpiga magu,ndo maana baada ya kuwa Rais akaanza kuwanyanyasa wananchi sababu anajua hawakumchagua alipora ushindi Wa zezeta Edo..

mzee lowassa akasema"nazijua mbinu wanazotumia kuiba kura,la kuzilinda niachieni mimi"

huyu ninachoona baada ya matokeo,atasema muingie barabarani,halafu ataingia yeye na wahuni wawili au wanne,watamshika wamtie ndani.halafu ataachiwa baada ya mwaka mzima kupita.

akute nyinyi wafuasi wake wa jf mmeshasahau hata alikuwa nani.
 
Lowa assa alishinda ule uchaguzi mbaba,ye badala ya kuhamasisha watu waingie road kudai haki akaenda kushitaki kwa TB Joshua,

mwenye mamlaka ya kutangaza ushindi ni NEC.kuingia barabarani ni kutafuta matatizo ambayo hayana ulazima.

anyway sio mpaka uhamasishwe ukiona unayempenda hajatangazwa siku hiyo wewe toka ndani na bendera anza kuandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…