Hao wakuletwa wengi wafanyakazi wote wa serikali lazima kwa waraka, wanokuja fata wasanii, wakusombwa vijiji jiraniHataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakuletwa wengi wafanyakazi wote wa serikali lazima kwa waraka, wanokuja fata wasanii, wakusombwa vijiji jiraniHataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Kale ka bwana kanaudhi sanaYule Mh sana mwenye wilaya safari hii atakuja na kioja gani!? Kwanza mabango ya kumpinga mgombea ameyatayarisha?
Bila wasanii hampati hata nusu ya hiyo. Mwenzenu anapata watu bila hata msanii mmoja. Hamjiulizi?Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Tumeshawazoea nyinyi!!Bila wasanii hampati hata nusu ya hiyo. Mwenzenu anapata watu bila hata msanii mmoja. Hamjiulizi?
Hujafa hujambika. Kesho yako huijui. Hicho Kilema hakuzaliwa nachoMamisukule hayanaga kumbukumbu, Lissu anadanganywa na watu wanaokuja kumuona mlemavu anayeng'ang'ania kuwa Rais wa nchi kwa huruma ya kupigwa risasi
Nyinyi ndio maana Ben aliwaita mbumbumbu na marofa,uchumi gani wa Tanzania ulio umizwa? Wakati hao wafadhili wenu wameinua mikono wameitoa Tanzania ktk nchi maskini na kuingiza nchi ktka ya uchumi Wakati,wewe Kama unataka wakuletee fedha nyumbani kaa usubiri,hata Lissu wako awe rais awezi kukugawia ela bule,fanya kazi acha bure.
Duuu alishindwa kwa kura ngapi? Pia kumbuka ilikuwa awamu ya kwanza ya maguful hivyo lowasa alikuwa na makandokando zaid ya magu. Kwa sasa Magu hana mvuto baada ya kuumiza watu kiuchumi hivyo lissu n zaidi
Kesho Tuko Live na Rais wetu Lissu.Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya mikutano mitatu kila mmoja jimboni humo.
Tundu Lissu naye anatarajia kufanya mikutano mitatu tofauti ndani ya jimbo hilo kabla ya kuambatana na Mbowe kwa Chopa kuanza kuizungukia sehemu ya Tanzania iliyobakia.
Psychopath humjui yule Yesu FakeKwa lipi wakati anaongea kama kichaa!
Hii picha mbona iko faint sana Imepigwa leo au ya mwaka 1990Hawa watu wamekaa kwenye viti kumbe!
Wamepeleka leo kwa boda boda Chadema makao makuu.Hivi Mahela kaahirisha kumpelea wito? Maana kesho si ndio 29/09/2020 kamati ya NEC!?
Huyu Lissu huyu nyota yake ni kali sana
Heheee vichwa vya kuongeza.Watu wasitaalamu hakuna vurugu hata chembe. Wapigakura wa uhakika tena wamejiandikisha wote!
Hataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Kaka akili yako ni ndogo sana halafu Inaonesha wewe ni mlevi wa pombe za asiliKwani mmeshindwa kusomba na kuweka wasanii?
Mkuu unafurahia wizi Wa kura.mwaka huu hakuna chiiiiiiii,tunabanana mpaka kieleweke .Lowassa alimpiga magu,ndo maana baada ya kuwa Rais akaanza kuwanyanyasa wananchi sababu anajua hawakumchagua alipora ushindi Wa zezeta Edo..MAFURIKOOOO,lowasaaaaaaaaa
LOWASSA,mafurikooooooo
mwisho wa siku,chiiiiiiiiii jeeeeeesuuuuj.
hakika unateketeza mashetani👹👹👹 yote yakijanMoto wa ukombozi umeshika kasi
mbona unaweka picha za fiestaHataifikia nyomi hii
View attachment 1583716
Mkuu unafurahia wizi Wa kura.mwaka huu hakuna chiiiiiiii,tunabanana mpaka kieleweke .Lowassa alimpiga magu,ndo maana baada ya kuwa Rais akaanza kuwanyanyasa wananchi sababu anajua hawakumchagua alipora ushindi Wa zezeta Edo..
Lowa assa alishinda ule uchaguzi mbaba,ye badala ya kuhamasisha watu waingie road kudai haki akaenda kushitaki kwa TB Joshua,