Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi 70% inaendelea tena , na leo ikiwa ni zamu ya Jimbo la Tabata Segerea.

Instagram media - CEgAYjrpu54 ( 762 X 640 ).jpg


UPDATES
Tabata Liwiti - Segerea
Mgombea Urais wa Chadema Mhe @TunduALissu akisalimiana Viongozi wa Chadema jimbo ( 451 X 640 ).jpg
Subpost 1 - - Segerea ( 451 X 640 ).jpg


Subpost 2 - Mkutano wa Mh Lissu viwanja vya Liwiti Segerea.  OFA INAISHA LEO!  K ( 451 X 640 ).jpg
 
kwa macho yako unavyoona unadhani Chadema inakata roho ? kuwa mkweli
Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujawa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
 
Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujwa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
Chadema wenyewe wanapenda faulo wanaambiwa semeni sera zenu wanaporomosha matusi
 
Arusha ni 31/8 kwa ratiba iliyopo , hiyo yako sijui umeokota wapi .
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
 
Back
Top Bottom