Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujwa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
mkuu kuna timu nzito mno imeundwa kushughulikia suala hilo na matunda yake tumeyaona na bado kazi inaendelea , Lakini la kujiuliza ni hili , kwanini ccm inapanga njama za kuengua wengine ?
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Jikite kwenye hoja yako , mbona hueleweki ? usilolijua ni kwamba Hela zilizotumika kununua ndege si za Magufuli
 
We jamaa hujitambui huko kichwani. Hujaona Jana Sera.unataka Sera gani. Baki na CCm yako
Wameanza Jana Baada ya sisi Wana jamii forums kuwakomalia walikuwa wakipiga porojo tu tukawakomalia humunkuwa Hakuna acheni ujinga ndio waneanza kuzitoa

Mbagala walipiga porojo tu
 
Jikite kwenye hoja yako , mbona hueleweki ?
Si bado naongelea Lisu sijatoka nje ya hoja .Mkutano wa Arusha Leo Godbles Lema ndio alitangaza kuwa upo Leo utafanyika unga LTD kea hiyo kaongeza siku I'll uendelee Hadi jumatatu kesho?Basi angetangaza kusema Lisu atakuwepo kesho sio leo
 
Mtoa post umeeleweka ila uwe unatupia kila hatua inayoendelea hapo kwenye mkutano ili waliopo mbali wapate taarufa sahihi.
Unataka watupie uwanja tupu, kampeni za Lissu zimekuwa kama kampeni za Udiwani, zimedoda kwa ufupi.
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Mkuu mimi sio shabiki wa siasa sana! Lakini nataka kujua ndege ni za Magufuli/CCM au ni za waTZ wote na zimenunuliwa kwa pesa za nani..?? Nauliza tu maana hii hoja yako imenipa ukakasi sana...
 
Mkuu mimi sio shabiki wa siasa sana! Lakini nataka kujua ndege ni za Magufuli/CCM au ni za waTZ wote na zimenunuliwa kwa pesa za nani..?? Nauliza tu maana hii hoja yako imenipa ukakasi sana...
Ndege ni za CCM vilevile za serikali ya watanzania vilevile za Magu hata ukitaka kuziita za CDM hukatazwa aka nyumbxx wa Ufipa sawa tu ili mradi zinawahudumia watanzania wote bila kubagua.
 
Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi 70% inaendelea tena , na leo ikiwa ni zamu ya Jimbo la Tabata Segerea .

View attachment 1552822
Hakuna kitu kina kera kama kutanazia watu mkutano ni saa suta halafu mna kuja saa kumi na moja na kuanza kusema muda hautoshi.
 
Tatizo kubwa la CHADEMA na upinzani ni kuwa hamjapatia suluhisho la faulo mnazofanyiwa kila uchaguzi mkuu. Ni kweli Watz huko wanataka mabadiliko lakini bado upinzani haujwa serious. Ni aibu kubwa hadi leo wagombea wenu wameenguliwa na mmebaki kulia tu Facebook. Anyway play ur part and u will be remembered
Toka 2005 nilipoanza kufuatilia siasa tena nikiwa chadema damu.
Mpaka leo hii ni miaka 20 imepita. Yale waliokua wakilalamikia mwaka ule wa 2005 ndio yaleyale wanayolalamikia 2020.
Hata mtoto mdogo hua anajifunza vitu vilivyowahi kumuumiza huwa na tahadhari navyo.
Sidhani kama walikua hawajui kutakuwepo na rafu kwenye uchaguzi huu, na tahadhari gani wameweza kuchukua zaidi ya kulalamika!
Nawapa pole maana kila uchaguzi wanasema watashinda lakini huu kidogo pole yao. Bado niko na kumbukumbu ya mwaka ule wa 2015.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni upuuzi kuwekeza akili kwenye upinzani usio na njia mbadala. Huyu ndugu ni mnufaika mkubwa kiuchumi wa uwepo wa CHADEMA ndio sababu post zake zote si kukosoa na kuwapa dira CHADEMA isipokuwa kuwapigia zumari tu
 
Vipi Lisu ataenda Arusha na Ndege alizonunua magufuli anazoziponda au ataenda kwa miguu?

Tuone atakavyokenua meno akiwa kwenye ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano kutimiza ilani ya CCM
Atatembea kwa miguu ..mijitu mingine hovyo kbsa
 
yawezekana atapita hapo lakini kwa mujibu wa Ratiba niliyonayo Mkutano uko Jimbo la Segerea
Uweke updates zenye mtiririko punguza mbwebwe sana ili wapate madini ya maana kutoka kwa Mhe Lisu habari za kusema mara wachambuzi wanasema atashinda kwa asimilia 70 achana nazo lete updates ili wavutike kwenda kwenye mkutano ili wachume madini aliyonayo .Lisu ana madini sana watanzania wanatakiwa kujua
 
Back
Top Bottom