Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Ilikuwa lini na Serikali ilitoa tamko lini, na pengine tuulize ni kweli haikuwepo wakati huo?
Ilikuwa ni juzi tu alivyorudi tena baada ya kuwa tayari kesha teuliwa kuwa Mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema, aliongeana foreign media na kusema Serikali yetu inaficha na kwamba Tanzania kuna corona nyingi sana tu na watu wengi wanakufa kwa cororna, sasa ndio namshangaa kwa nini anajiachia kama kweli Tanzania yetu kuna corona nyingi na watu wanakufa huku Serikali yetu ikificha?