Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

Hoja za tundu lissu Segerea leo ni ngumu na hazijibiki kirahisi

Mosi ,Anauliza mikataba ya ndege kuwa wananchi hawajui wala wabunge zimenunuliwa bei gani?

Mimi ni muumini wa Profesa Assad kitaaluma ingawa ni mwana ccm na nilisema mapema hapa haya mambo tutakuja kushindwa kujibu kwa mahesabu ya Humprey polepole

Leo Tundu lissu Segerea ametuchakaza sana ,Hata Mimi mwana ccm siyajui haya ya mikataba ya ndege

Nini cha kufanya kwa sasa

Ccm iongee ukweli bei za ndege ni kiasi gani na mikataba yake ili tuweze kutetea hoja hii

Leo jamaa amepigilia misumari ambayo sikutegemea kabisa

Leo ndio nimemkumbuka Prof Assad kuwa alikuwa na lengo nzuri sana kabisa

Prof Assad quote,"Debit or Credit has got no meaning but it depend on interpretation

Sasa hawa Chadema wamesema tumeibiwa ni interpretation sahihi?
Hana sera
Hana hoja

Mpaka sasa anabumbuwazi haya aliyoyakuta yaliwezekanaje?

Hoja za kuombea kura ni kujielwza una mipango gani na siyo kubeza ufanisi wa mpinzani wako
 
Segerea pamedoda 😂😂😂
Sasa hii Dsm tu anapata watu 100 akienda mikoani huko anaweza ambulia watu 10 tu wa msafara wake 🤣.
Vipi, mabakuli leo hayajapita?
 
Uelewa wako ni mdogo sana kwani hizo ngonjera za ndege za ATCL umeanza kuzisikia leo?? Walishasema maneno mengi sana hata pia Lissu alishashirikiana na mabeberu kuzikamata huko Canada na South Africa! Kwani kuuliza bei ndiyo hoja? mbona haulizi vitu vingine? Kama unataka kubwabwaja kama Lissu na wanasaccos wewe endelea tu! Eti mpaka umeanzisha uzi kwa sababu ya bei ya ndege za ATCL kwa taarifa yako Shirika la Kutengeneza hizo ndege lilishatoa bei ya ndege hizo walizonunua Serikali wala siyo kitu kipya labda wewe ulikuwa bado uko shule ndiyo maana unaona kitu kimpya sana!!
Wewe ni Mwanachadema mpumbavu na ngumbaru mkubwa

L
 
Segerea pamedoda 😂😂😂
Sasa hii Dsm tu anapata watu 100 akienda mikoani huko anaweza ambulia watu 10 tu wa msafara wake 🤣.
Vipi, mabakuli leo hayajapita?
Subpost 2 - Mkutano wa Mh Lissu viwanja vya Liwiti Segerea.  OFA INAISHA LEO!  K ( 451 X 640 ).jpg
 
>85% ya wapiga kura wa Tanzania hawahitaji kuona achilia mbali hata kujua bei ya ndege, wanaamini chini ya Raisi Magufuli nchi yetu iko salama na Raisi Magufuli hawezi kuiibia Tanzania yetu, na chochote anachofanya ni kwa mema ya Tanzania yetu, BTW naelewa unaposema kwamba wewe ni Mhasibu hivyo hauna tofauti na Tundu Lisu na wafuasi wake Wanafunzi wa Sheria ambao wanafikiri wote sisi ni Wanasheria na tuko darasani, ...

Unatuambia nini kuhusu ile Boat maarufu iliyoishia kufichwa sehem ili isiongelewe ongelewe? Mnasau zile ni pesa za wananchi.
 
Hoja za Tundu Lissu Segerea leo ni ngumu na hazijibiki kirahisi

Mosi, Anauliza mikataba ya ndege kuwa wananchi hawajui wala wabunge zimenunuliwa bei gani?

Mimi ni muumini wa Profesa Assad kitaaluma ingawa ni mwana CCM na nilisema mapema hapa haya mambo tutakuja kushindwa kujibu kwa mahesabu ya Humprey polepole.

Leo Tundu lissu Segerea ametuchakaza sana ,Hata Mimi mwana ccm siyajui haya ya mikataba ya ndege

Nini cha kufanya kwa sasa

CCM iongee ukweli bei za ndege ni kiasi gani na mikataba yake ili tuweze kutetea hoja hii.

Leo jamaa amepigilia misumari ambayo sikutegemea kabisa.

Leo ndio nimemkumbuka Prof Assad kuwa alikuwa na lengo nzuri sana kabisa.

Prof Assad quote,"Debit or Credit has got no meaning but it depend on interpretation.

Sasa hawa CHADEMA wamesema tumeibiwa ni interpretation sahihi?
Hizo hoja tumeshasikia tangu zamani sana!

Alete vitu vipya!
 
Mkuu better remain silence than showing your idiotness here

Hapa tunatetea chama sio sehemu ya mipasho na taarabu

Huyo ameongea jukwaani anapaswa kujibiwa

Wewe ni ccm njaa nini,Fanya kazi kukisaidia chama sio chama kikusaidie wewe
You better write in Swahili you ass!! You know nothing about CCM and you are among the ass at Ufipa street!
 
Matapeli ninyi Moshi Godbless Lema anasema Leo Lisu anatikisa Arusha mjini viwanja vya unga LTD atajigawaje Wakati Mkutano muda Ni ule tusaidie mleta mada
Chadema mumebobea kwenye uongo
Naona ulivyo changanyikiwa hadi unatukana tu watu kisa ni wana cdm. Tulia sindano ikuingie vyema kusudi upone kichaa chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom