Hoja za tundu lissu Segerea leo ni ngumu na hazijibiki kirahisi
Mosi ,Anauliza mikataba ya ndege kuwa wananchi hawajui wala wabunge zimenunuliwa bei gani?
Mimi ni muumini wa Profesa Assad kitaaluma ingawa ni mwana ccm na nilisema mapema hapa haya mambo tutakuja kushindwa kujibu kwa mahesabu ya Humprey polepole
Leo Tundu lissu Segerea ametuchakaza sana ,Hata Mimi mwana ccm siyajui haya ya mikataba ya ndege
Nini cha kufanya kwa sasa
Ccm iongee ukweli bei za ndege ni kiasi gani na mikataba yake ili tuweze kutetea hoja hii
Leo jamaa amepigilia misumari ambayo sikutegemea kabisa
Leo ndio nimemkumbuka Prof Assad kuwa alikuwa na lengo nzuri sana kabisa
Prof Assad quote,"Debit or Credit has got no meaning but it depend on interpretation
Sasa hawa Chadema wamesema tumeibiwa ni interpretation sahihi?