Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

Huoni hapo mtakuwa mmecheza ngoma ya Lisu kwa asilimia mia...maana raia wataanza kuhoji kwa nini amezuia kuuona uwanja Kuna nini Cha ziada...

Bora mmwachie aende akashangae aendelee na safari yake.
Ccm wote ni ukoo wa panya wezi tu
 
Tundu Lissu Ni very bright,utaona kesho atakavyofanya.Hapo Chato atapata kura nyingi tu
Kumbe kesho anachukua kura! Tarehe 28/10/2020 tutamnyoosha anajaribu kuwadanganya mabeberu yake na wanasaccos kuwa anakubalika Kanda ya Ziwa. Atashangaa tarehe 28/10/2020 yeye aendelea kupatapata vipesa vya walalahoi na mabeberu za mwisho mwisho!
 
Mkuu tupe marejesho ................!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…