zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu takwimu zako zina changamoto. Wagombea walioenguliwa maybe 40 maana 30% walirudishwa. Na wagombea hawakuwekwa pemba tu ila unguja waliweka.nikusaidie kidogo chemistry ya uchaguzi, hadi sasa cdm hawana wagombea katika majimbo 114, yaani 50 ya zanzibar na 64 ya bara na katika hayo majimbo yote hajaenda kupiga kampeni huo ushindi anaupataje? Lissu anapita maeneo yenye wapiga kura wengi angalau aambulie viti maalum vichache naona mwaka huu hadi mkewe atakua mbunge,
Kwa hyo kwenye majimbo 264 hawana wagombea majimbo say 60!! Meaning wanan wagombea 200+ ambayo ni zaidi ya wagombea waliosimamisja 2010 na 2015 (waliachiana majimbo).
Nilitaka kuweka rekodi sawa tu