Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu sio hivyo tuu, kuna habari nzito Ila bado hazijadhibitishwa.Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio hivyo tuu, kuna habari nzito Ila bado hazijadhibitishwa.Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbani
Kisa cha wewe kuhangaika naye?Geita katoro police walifanya kazi ya ziada kumwokoa safari hii wamwache tuhangaike nae
Chadema wana mgombea ubunge chato?Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbani
Wamtoe wapi? Kule hawana chaoChadema wana mgombea ubunge chato?
Chadema wana mgombea ubunge chato?Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbani
Uongo serikali za mitaa na kata zote Tanzania nzima viongozi Ni wa CCM Baada ya vyama vya siasa kugomea uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita .Huna haya kuongopa mchana kweupe?Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbani
Alishapita bila ya kupingwa?Wamtoe wapi? Kule hawana chao
Angalia usije vunja simu au screen ya computer kwa povu lilivyokupanda. Naona umeguswa penyewe 😂Wacha kuitafuta huruma, wewe lete pumba zako
Kamuua nani?Ww unajifanya hujui kama Lissu ni muuaji!! Subiri awaingize mabarabarani kama alivyosema uone mtakavyopukutika
Akifika Wallah tunamng'oa vyumaChato wanaweza mpopoa, kawananga sana huyo Domo kaya Lisu
Kasema chato airport ni private airport anaenda kufanya Nini?
Inteligencia ya CHADEMA iliondoka na SLAA na LOWASACHADEMA intelegensia hapo ndipo mnapoyumba sioni umuhimu wowote wa kwenda huko Chato.
Wekezeni maeneo ya kimkakati ambayo mnaungwa mkono ambayo uhakika wa kupata kura za kutosha upo.
Unayepanga ratiba hauna nia njema na TL.
Wekezeni nguvu Mwanza,Mara,Arusha,Kilimanjaro,Kigoma,Iringa,Mbeya,Songwe,Rukwa,Katavi,Morogoro,Mtwara na Tanga.
Anakwenda mara ngapi au ahamie huko kabisa maana kushinda K/Koo ananunua Maembe kumemshinda
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kiuhalisia JPM ni mwepesi sana.Tanzania hii hakuna mtu jasiri kama TAL tuliobaki ni mbwa koko ukitishwa kidogo mkia ndani pumbavuuuuu
Wakati uwanja unajengwa alikuwa ubelgiji kodi alilipa saa ngapi? Alete risit ya traImejengwa kwa kodi zetu sote zikiwemo za lisu, wats wrong akienda kuona kazi ya kodi yake??
Ccm sasa mnatikisa mpaka mikia