NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Kumbe ndio weee binti ulichezea kichapo ulikuwa mchafu hiviGeita katoro police walifanya kazi ya ziada kumwokoa safari hii wamwache tuhangaike nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio weee binti ulichezea kichapo ulikuwa mchafu hiviGeita katoro police walifanya kazi ya ziada kumwokoa safari hii wamwache tuhangaike nae
Lisu anasema anatokea Kijiji cha mahambe,We Pimbi unampangia pa kwenda ukiwa kama nani? Wewe jamba ulale, mnabweka bweka tu humu kama paka.
Ataenda kila sehemu, kufanya kampeni, na wenu mwambie aende Ikungi
Binti tuliaWASUKUMA popote walipo inatakiwa kuwa na msimamo mmoja tu kuhusu huyu nao ni kumnyima kura na kutokwenda mikutano yake
Yaani nyie washamba mtusumbue sisiHuko akienda kuongea utopolo wake, wanabaki nae.
Kama babu yenu alivyozomewa BUKOBABro tulia atakula mawe ya kutosha subiri afike, hakumbuki alivyozimewa pale Buseresere.
Tayari ni eneo la utalii mbuga zipo na wanyama wapoKuwa eneo la utalii? Muwe mna reson basi
We binti bana kazi yako ya uhouse girl iliyokupeleka Arusha unajiona umewinLisu anasema anatokea Kijiji cha mahambe,
Lisu bila kufaulu shule asingewahi kuja Arusha jiji la kimataifa.
Yaani amshukuru Sana kaka yake alute ambaye ni mwana CCM ndio kamsomesha yeye akiwa anafanya AG Chambers pale Arusha.
Ni kweli kwa mujibu wa ratiba ya mh Lissu jumanneatakuwaFake news.
WENZIO walishawekeza hadi hoteli za kitalii Chato kalaghabaho.CHEKI JS HOTEL YA KITALIIKuwa eneo la utalii? Muwe mna reson basi
Sasa ndio nini kama kaka yake kampeleka wewe hutaki? Si familia moja hao acha uzwazwa ulitaka asiende kwa kaka yake.Lisu anasema anatokea Kijiji cha mahambe,
Lisu bila kufaulu shule asingewahi kuja Arusha jiji la kimataifa.
Yaani amshukuru Sana kaka yake alute ambaye ni mwana CCM ndio kamsomesha yeye akiwa anafanya AG Chambers pale Arusha.
Hahahhaa sio mabeberu tena? tulia akili imeanza kukuingia lakini lazima umalize dose kwani hii ni sindano ya kumi na ngapi?Kwanza ubalozi wa Marekani na shareholders wa BOEING inabidi wasikilize hii clip huyu mtu wao anaponda ununuzi wa ndege na kuuita ushenzi na upumbavu hataki Tanzania inunue ndege kwao wao wakose soko.HIVYO ni mpiga vita wa soko lao la ndege
Pili mabalozi wote wa nje wanaoishi Tanzania wasikilize hii Clip hataki wajengewe daraja waendelee kusota kwenye foleni pamoja na kuwa nchi zao ndizo hutoa misaada kibao kwa Tanzania ikiwemo matibabu yake mwenyewe Lisu ubelgiji na safari zake kibao za ulaya na marekani
Anawapiga vita hadi mabalozi waziwazi bila kificho wakati pesa za ujenzi wamezitoa wao.Can you imagine?
lingine kumsaidia tu Lisu viwanja vyote vya ndege toka milipuko ya september 11 ya kigaidi sio tourism place tena ukienda uwe na safari au unamsindika msafiri.Kwa hiyo kama ataenda na ndege Chato ruksa kutua lakini sio kwenda kwa ajili ya kitu kingine ikiwemo utalii.Alivyokuwa mbunge akiwa kamati husika ilikuwa ruksa kwenda kikazi sasa hivi yeye raia wa kawaida tu huwezi enda uwanja wa ndege kutalii kama zamani kabla ya mashambulizi ya kigaidi.NDIO maana zamani dar tulikuwa tukipanda hadi juu kwenye paa tunapiga picha ndege zikiruka na kutua bila shida na harusi tukifunga tulikuwa tukienda nazo Airport kuzurura na kupiga picha tupendavyo
AIRPORT za sasa dunia nzima zina restrictions on entry huwezi jiendea tu ohhh mimi nakuja kukagua majengo who are you?
Lingine Lisu anahangaika na confrontational politics hahitaji kura anatafuta tu ugomvi baada ya kukata tamaa kuona wazi hatashinda .HIVI kweli unaenda kishhari namna hiyo nyumbani kwa mtu unatukana vitu vilivyoko nyumbani kwake unategemea wazazi na ndugu wenye mtoto wao Magufuli unadhani watakupa hata kura moja? mzazi aweza kuwa mjinga au akili hana lakini huwezi kwenda nyumbani kwake ukamporomoshea matusi na kumdharau ukadhani ndio watoto na ndugu zake watakuona wa maana na kukupa kura.YOU DO MORE DAMAGE TO YOURSELF AND YOUR PARTY
Kule ni kwake najua anatafuta ugomvi na Magufuli akafanye vituko kule kwa makusudi kuonyesha yeye yuko tayari kupambana lakini ajue watu hawako pamoja naye kwenye hizo confrontational politics zake
GEITA anaenda for the second time alikuwa hapo GEITA KATORO naona kaishiwa anarudi tena
Lisu ni nani hapa tanzania?We humjui lissu we
Huna akili, kwani uongo, wananchi wa chato wanautumia uwanja huo wa chato kwa ndege za Lupalu a.k.a air lupalu. Kwa sababu ndege za kawaida hawawezi ghatma yake
Hakimbiwi mtu hapa...ama zangu ama zakoNtakusubiri njia panda ya bwanga usinikimbie
Lissu kasema clear kabisa tume ikichakachua matokeo ndo ataingiza watu barabarani, sio lissu tu hata seif Kule zanzibarWw unajifanya hujui kama Lissu ni muuaji!! Subiri awaingize mabarabarani kama alivyosema uone mtakavyopukutika
Chato kata nyingi zinaongozwa na chadema, Kule chato watu wanasema mzee ni kaburu hasa mpaka nyumbaniKwa haya tunayosikia nahisi Kampeni zake Chato siku hiyo atazifanya kwa huruma kidogo!
Ila sijui kama yana ukweli, maana mbuyu ukianguka una mshindo