Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Anadai anataka kuhongwa ili awe mpole. Ngoja tusubiri..
Lissu ni lawyer turned politician.
Ukakasi unaanzia hapo.
Kama ni mwamba akubali yote both ways.
Bahati nzuri au bahati mbaya watu wamekata tamaa na hulka za hao wanasiasa.
Wengi ni wasakatonge,kila mtu apambane na hali yake.
 
Lisu kawa wa kawaida sana,
2020 alipo kuwa hapo Itv dakika 45 hizo dakika 45 zilikua kama dakika 10 hadi zikaongezwa mpaka 50
 
Hili swali la marafiki wa kimataifa nimecheka sana, kumbe CCM hadi wamejengewa chuo ila wanawasema wenzao wanatumika na mabeberu.
Hahaha you can not imagine how Midre was shaking….😂😂😂😂
 
One thing leo mejifunza ni suala la ruzuku ya vyama vya siasa meona ccm wengi wakituhumu ishu ya ruzuku leo ndo meeelewa ruzuku inatolewa vip sasa aje ccm mpumbavu aseme mbona ruzuku CDM wanachukua kumbe sheria ya vyama vya siasa iko wazi ndo mana ccm wanafurah watu wakiwa wajinga au wawe waongea upumbavu km dotto magari mbichw
 
Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule.

Wengine wanakiita Simba.

Wengine hawachoki kukifanyia fitna.

Ama kwa hakika wengine kwetu huyu:

View attachment 3079045

Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
Huyu ndiye mwanasiasa pekee aliyejichanganua...katu hapokei rushwa, anakemea rushwa popote hata ndani ya Chadema
 
Back
Top Bottom