Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
actually,Si umeona nilivyohitumisha ndugu?
"Kwani hatukuyaheshimu maoni yenu?"
Tunachokataa ni ujuaji na kubagaza wengine.
Nakazia:
"Siasa siyo uadui!"
ieleweke wazi kwamba, binafsi si mpagazi wala mbaguzi kwasabb ya ile dhamana ya wananchi niko nayo,
sibagui dini, chama cha siasa, au kabila la mwananchi yeyote...
lakini zaidi sana,
ninaheshimu mno maoni na mtazamo wa kila mwanafamilia hii muhimu sana ya JF, kwasabb ni uhuru na haki ya kikatiba kwa kila moja wetu hata kama ananiporomoshea matusi...
daima nitasema ukweli kwa uwazi bila kumungunya maneno na wala bila mbambamba yoyote na bila kujali nani atanifikiriaje kwasabb ndio haki na uhuru wake kufanya hivyo...
lakini pia siwez kubabaika kwa ajili ya eti mtu hanieheshimu, hiyo ni hiyari yake..
namuheshimu anae niheshishimu, asie niheshimu simjali 🐒