- Thread starter
- #81
excuse me,
sikumaanisha wew ni nyumbu na wala unakurupuka au una mihemko au ni wale wa kuyaporomosha, la hashaa...
kwasabb ni useless narrative sioni maana wala muda wa kumcategorize mtu kwenye kundi la nyumbu au chawa kwasabb ni nonsense...
mim nina issues za maana na sina mbambamba yoyote kuziweka wazi regardless nani atajiskiaje, kwasabb ni kimkakati zaidi na kibobevu zaidi 🐒
Unadhani chawa wanaona hawana issue za maana?
Kumbe hukufahamu ni kwa nini waswahili husema nyani haoni kund*le?
Si unakumbuka ulisema wewe huwa huongelei watu?
Ushahidi ukathibitisha vinginevyo siyo?