Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Haya tena kile chuma cha pua kwenye ubora wake kitakuwepo ITV kumwaga shule.

Wengine wanakiita Simba.

Wengine hawachoki kukifanyia fitna.

Ama kwa hakika wengine kwetu huyu:

View attachment 3079045

Ndiye yule mwanetu mpendwa tunaye pendezwa naye!
Tupo kwenye TV tunasubiri nondo Kwa hamu kubwa!!

Simba wa Bara ataunguruma soon
 
Kwanini sio kipindi live? Vipindi vilivyokwisha kurekodiwa na kurekebishwa havivuti hisia sana, naangalia anyway.
 
64bqxem1sgq51.jpg

LISSU 2025
 
Kwanini sio kipindi live? Vipindi vilivyokwisha kurekodiwa na kurekebishwa havivuti hisia sana, naangalia anyway.
Concur with you! Nothing to expect from this program….. ITV will not air anything that will threat CCM and Samia!
 
Back
Top Bottom