Ulitamka kwamba mtakinukisha, mtazuia uchaguzi mkuu na kuvuruga uchaguzi huo wa kikatiba nchini, kweli si kweli?
alifanikiwa wakati mlimfunga UKONGA, sababu ya papara zenu mnaenda kushindwa kesi, mngesubiri akinukishe akiwa nje ndio mmunyonge, sas amechi umeweka marewa wewe na mnaenda kushindwaUlitamka kwamba mtakinukisha, mtazuia uchaguzi mkuu na kuvuruga uchaguzi huo wa kikatiba nchini, kweli si kweli?
Ulisema mtakinukisha, mtazuia na kuvuruga uchaguzi mkuu upi? Je, nikisema mlikusudia kuyafanya hayo siku ya uchaguzi mkuu wa Oct 2025, ntakua nakusingizia?
Je,
hamkufanikiwa kwa vitendo mipango hiyo haramu kwa wakati muafaka kama mlivokubaliana kwenye kamati kuu ya chadema taifa na kusababisha uvunjifu wa amani, uharibifu na maafa kwa waTanzania?
mbona unasema uongo ndugu muhaini aise? Na mbona haukutamka kama hayo uliyoyasema yanaishia kua maneno tu until mmetenda kwa vitendo ndio unakuja tena kudai eti yalikua ni maneno matupu?π
Unaandika kama unanyonya paipu mdomonoUlitamka kwamba mtakinukisha, mtazuia uchaguzi mkuu na kuvuruga uchaguzi huo wa kikatiba nchini, kweli si kweli?
Ulisema mtakinukisha, mtazuia na kuvuruga uchaguzi mkuu upi? Je, nikisema mlikusudia kuyafanya hayo siku ya uchaguzi mkuu wa Oct 2025, ntakua nakusingizia?
Je,
hamkufanikiwa kwa vitendo mipango hiyo haramu kwa wakati muafaka kama mlivokubaliana kwenye kamati kuu ya chadema taifa na kusababisha uvunjifu wa amani, uharibifu na maafa kwa waTanzania?
mbona unasema uongo ndugu muhaini aise? Na mbona haukutamka kama hayo uliyoyasema yanaishia kua maneno tu until mmetenda kwa vitendo ndio unakuja tena kudai eti yalikua ni maneno matupu?π
Amefanya exploration ya Sheria zote husikaLeo Septemba 25, 2026, Tundu Lissu ameendelea kutoa majumuisho ya mwisho Mahakamani kufuatia Kesi ya Uhaini inayomkabili.
Katika wasilisho lake la leo, Tundu Lissu amesema kwa mujibu wa Sheria yetu iliyoundwa kutoka kwa Sheria ya Uingereza hakuna Uhaini wa maneno kama yeye anavyotuhumiwa kwa kwa maneno ya 'Tutakinukisha'
"From that time to this day, English law on treason is counted as Section 39 of our Penal Code.
Our Penal Code was enacted in 1930 by British law.
Kwa vile English law ilishafuta uhaini wa maneno, ndiyo maana sheria yetu vilevile haijawahi kuwa na uhaini wa maneno.
Na ndiyo maana, Waheshimiwa Majaji, Marehemu Jaji Mkuu Francis Nyarali kwenye kesi ya Khatibu Ghandi alisema kuwa maneno matupu hayafanyi uhaini.
Alikuwa anajua hii sheria imetoka wapi.
Waheshimiwa Majaji, nimesema hiyo sheria ya uhaini kama ilivyopendekezwa na Uingereza kwa Tanganyika, Uganda, Kenya na Nyasaland.
Isipokuwa nchi mmoja imeongeza uhaini wa maneno.
Uganda, katika Penal Code yao, wameongeza uhaini baada ya Mwingereza kuondoka.
Kwa sheria yetu, hakuna uhaini wa maneno.
Napendekeza uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uingereza:
Regina v Her Majesty's Attorney General (Ex parte Rusbriger and another) [2003] UKHL.
Wanataka kuingiza kitu kwenye kesi hii wakati Waingereza waliotuletea sheria hii waliachana nacho tangu mwaka 1890; wao wanataka kukileta leo.
Pia, lengo la upande wa mashtaka ni kuingiza uhaini wa maneno katika sheria zetu ambao haujawahi kuwa katika sheria zetu milele.
Na tatu, hoja hii ya upande wa mashtaka inapinga msimamo wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania kwenye kesi ya Khatibu Ghandi, kwamba maneno matupu hayatengenezi uhaini."
Fuatilia zaidi Kinachojili Mahakamani leo 25 September, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri
Chanzo kutoka kwa WhatsApp Channel ya Twaha Mwaipaya
changia mjadala bila kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman na itapendeza zaidi πUnaandika kama unanyonya paipu mdomono
πUnaandika kama unanyonya paipu mdomono
Pamoja na Yote hakuna Ubishi kwamba Jamaa anajuaKujua kwingi ye anaona jokes ila wanaweza kumfunga huyu na kumpoteza kimzamzaha tu.
Akihukumiwa ndo atajua kamwaga Michele kwenye kuku wengi.
Huyu atapigwa kifungo then itapita parole atolewe ila asishiriki shughuli za kisiasa.
Sasa imagine Heche ndio Mwenyekiti mrithi chandemo km Sambua.
Hakuna rangi mtakosa kuiona
Kwani umesikia yeye anahofia hilo? Mbona ana amani muda woteKujua kwingi ye anaona jokes ila wanaweza kumfunga huyu na kumpoteza kimzamzaha tu.
Akihukumiwa ndo atajua kamwaga Michele kwenye kuku wengi.
Huyu atapigwa kifungo then itapita parole atolewe ila asishiriki shughuli za kisiasa.
Sasa imagine Heche ndio Mwenyekiti mrithi chandemo km Sambua.
Hakuna rangi mtakosa kuiona
Amani iko kwako sikuiti mkuu.Kwani umesikia yeye anahofia hilo? Mbona ana amani muda wote