Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tulisema hapa UOVU haushindi.
Hivi tungeishije maisha ya aina ile yakuogopa-ogopa utadhani watoto yatima.
Tungeishi vile hadi lini aise. Halafu wakataka wamweke pale milele.
Hili ameamua Mungu mwenyewe kwakweli.
 
Hayati amezimwa ndani ya dakika ya 10 tu,dakika za nyongeza itakuwaje. Kimyaa masifa yameanza kupungua
 
Lissu simply kasema anamwomba Mama Samia aruhusu uchunguzi huru ufanyike kwenye miradi yote mikubwa iliyotekelezwa na inayoendelea ili kubaini usafi wake...

Sasa timu chato mbona mmekuja juu - tatizo nini hapa? Kosa la Lissu ni lipi hapo?

Wamenyea utafikiri wamenyeshewa na mvua.
 
That is a fact, my fact; sorry kama hujaielewa, i'm not forcing you and don't force me too.
Eeenh, Heee!

Pole sana mkuu.

Naona umevurugikiwa 'Big Time' hivi karibuni!

Utazoea tu hali mpya mkuu, jipe muda tu.

However, until that happens, don't lose it!
 
Nimekuelewa, nina sababu yangu nje ya siasa inayonifanya kufanya hiki ninachokifanya hapa, nivumilie tu kwa wakati huu.
Huu ni ukumbi wa majadiliano.

Kusema una sababu bila kuitaja ni kusema huna sababu.
 
He will not rest in peace even in his grave.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mipasho unajibiwa mipasho.

Thibitisha ulichokiandika hapa ndipo uniambie nicheck fact.
Sina muda mchafu wa kuthibitisha mambo ya kipuz ya watu wapuzi kama mtume wenu mnayemubudu.
 
Sijui kama watakusoma wakuelewe hao walioshikiwa akili na Lissu, since 2018 anampigia kelele Magufuli mpaka leo 2021 Magufuli is no more still bado anapayuka tu, hawezi kuwa mzima huyu mtu!
He will not rest in peace even in his grave for what he did. Terrible.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
He will not rest in peace to his grave, what he did was so terrible, kama unauchungu kuna nafasi kwenye kaburi kajiegeshe na wewe.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kilichomkuta nyani wa serengeti, nyani wa bugiri/burigi. hawezi kukiepuka.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
homa ya mhaho imewakuta shwayyn,maji mutaita mma,kaza mama wameanza kuweweseka huku timu jiwe
 


Shida ni hii huyo hayati alipenda kuwakandia watangulizi wake kwa mara kadhaa kusema; "mimi nimekaa serikalini muda mrefu najua kila kitu, nchii hii imeibiwa sana"

Kwa kauli hiyo tusingetarajia afanye uchafu kama ule waliofanya watangulizi wake, hiyo inaonyesha uongo na unafiki mkubwa kama wizi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma ulikuwepo katika uongozi wake. Je huko alipo kweli Mungu atamfanya awe kiongozi wa malaika cheo alichokipigia upatu katika uhai wake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…