Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Tulisema hapa UOVU haushindi.
Hivi tungeishije maisha ya aina ile yakuogopa-ogopa utadhani watoto yatima.
Tungeishi vile hadi lini aise. Halafu wakataka wamweke pale milele.
Hili ameamua Mungu mwenyewe kwakweli.
 
Hayati amezimwa ndani ya dakika ya 10 tu,dakika za nyongeza itakuwaje. Kimyaa masifa yameanza kupungua
 
Lissu simply kasema anamwomba Mama Samia aruhusu uchunguzi huru ufanyike kwenye miradi yote mikubwa iliyotekelezwa na inayoendelea ili kubaini usafi wake...

Sasa timu chato mbona mmekuja juu - tatizo nini hapa? Kosa la Lissu ni lipi hapo?

Wamenyea utafikiri wamenyeshewa na mvua.
 
That is a fact, my fact; sorry kama hujaielewa, i'm not forcing you and don't force me too.
Eeenh, Heee!

Pole sana mkuu.

Naona umevurugikiwa 'Big Time' hivi karibuni!

Utazoea tu hali mpya mkuu, jipe muda tu.

However, until that happens, don't lose it!
 
Nimekuelewa, nina sababu yangu nje ya siasa inayonifanya kufanya hiki ninachokifanya hapa, nivumilie tu kwa wakati huu.
Huu ni ukumbi wa majadiliano.

Kusema una sababu bila kuitaja ni kusema huna sababu.
 
Yaelekea Lissu kaamua kuacha siasa na kurudi kwenye harakati kikamilifu. Kama ana nia ya kuongoza mapambano makuu ya kisiasa basi asihangaike kumcharaza mikwaju punda aliyefariki (flogging a dead horse) - madudu ya Jiwe wenye uelewa tunayafahamu sana na ni suala la muda tu yataanza kudhihirika kwa wengi. Asipoteze muda wake kwa ya Jiwe yaliyopita. Sijui ni kipi tusichojua?

Nilitarajia Lissu wakati huu ajaze kurasa zake na ushauri kuhusu mikakati ya kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, utawala bora na maendeleo endelevu nchini. Masuala kama Katiba mpya, ujenzi wa taasisi imara za uongozi, usimamizi na utendaji; usimamizi bora wa kanuni za demokrasia; nk. Hayo ndio tunayotarajia kumsikia akielimisha na kushauri mara baada ya Jiwe kuondoka. Baadaye atapata fursa ya kukosoa utendaji wa serikali inayoanza kazi sasa pamoja na kufuatilia haki zake binafsi ikibidi. He needs to stand great and tall. Aachane na utendaji wa Jiwe enzi hizo. There is no news there.
He will not rest in peace even in his grave.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Mama SSH naamini ataendelea kutumbu hao wote wasioenda na kasi ya hapa kazi tu! Magu alifanya kwa kiasi chake ila baadhi ya wateule hawakutaka kubadirika ndio maana hata yy Magu alisema hao wezi na wala rushwa bado wapo na kazi ya utumbuaji ni endelevu!
Sasa mapoyoyo kama tundu wanatafuta chochote watakachoshika ili wamchafue asiyechafuliwa[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Tupo na Magufuli wetu no matter what, he'll always be our hero! Rest peaceful eterally our genuine hero Magufuli!
He will not rest in peace to his grave, what he did was so terrible, kama unauchungu kuna nafasi kwenye kaburi kajiegeshe na wewe.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Inshu sio kumsema vibaya marehemu, lakini ukweli lazima usemwe!!na hata akirudi leo bado ana wafuasi wengi sana, mbona licha ya kumuita majina mabaya vile, kuwa ni msaliti lakini amerudi kwenye uchaguzi na kushindana na MZALENDO, hamkuamini kuona nyomi ile licha ya kutumia nguvu nyingi kumkwamisha??sasa ndio kipindi mtaona picha halisi ya wananchi, mlikuwa mnawaburuza kwa lazima tu!!jiandaeni vyeo vya brigedia meko, vitavuliwa hadi kubakia mgambo wa soko!!!yaani yaliyomkuta yote yale leo unasema eti hana utu na marehemu??
Kilichomkuta nyani wa serengeti, nyani wa bugiri/burigi. hawezi kukiepuka.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
homa ya mhaho imewakuta shwayyn,maji mutaita mma,kaza mama wameanza kuweweseka huku timu jiwe
 
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.

Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.

Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.


Shida ni hii huyo hayati alipenda kuwakandia watangulizi wake kwa mara kadhaa kusema; "mimi nimekaa serikalini muda mrefu najua kila kitu, nchii hii imeibiwa sana"

Kwa kauli hiyo tusingetarajia afanye uchafu kama ule waliofanya watangulizi wake, hiyo inaonyesha uongo na unafiki mkubwa kama wizi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma ulikuwepo katika uongozi wake. Je huko alipo kweli Mungu atamfanya awe kiongozi wa malaika cheo alichokipigia upatu katika uhai wake???
 
Back
Top Bottom