Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unachangia mada gani huyu. mwamsheni kalalaThat’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Lissu simply kasema anamwomba Mama Samia aruhusu uchunguzi huru ufanyike kwenye miradi yote mikubwa iliyotekelezwa na inayoendelea ili kubaini usafi wake...
Sasa timu chato mbona mmekuja juu - tatizo nini hapa? Kosa la Lissu ni lipi hapo?
Unataka kuambiwa nini kujua Atcl imefeli? Ipate hasara miaka kumi?
Eeenh, Heee!That is a fact, my fact; sorry kama hujaielewa, i'm not forcing you and don't force me too.
I sure will.Mkuu sijakuambia tunza hii post kwa bahati mbaya. Tutaichakata vyema hapo baadae.
Huu ni ukumbi wa majadiliano.Nimekuelewa, nina sababu yangu nje ya siasa inayonifanya kufanya hiki ninachokifanya hapa, nivumilie tu kwa wakati huu.
He will not rest in peace even in his grave.Yaelekea Lissu kaamua kuacha siasa na kurudi kwenye harakati kikamilifu. Kama ana nia ya kuongoza mapambano makuu ya kisiasa basi asihangaike kumcharaza mikwaju punda aliyefariki (flogging a dead horse) - madudu ya Jiwe wenye uelewa tunayafahamu sana na ni suala la muda tu yataanza kudhihirika kwa wengi. Asipoteze muda wake kwa ya Jiwe yaliyopita. Sijui ni kipi tusichojua?
Nilitarajia Lissu wakati huu ajaze kurasa zake na ushauri kuhusu mikakati ya kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, utawala bora na maendeleo endelevu nchini. Masuala kama Katiba mpya, ujenzi wa taasisi imara za uongozi, usimamizi na utendaji; usimamizi bora wa kanuni za demokrasia; nk. Hayo ndio tunayotarajia kumsikia akielimisha na kushauri mara baada ya Jiwe kuondoka. Baadaye atapata fursa ya kukosoa utendaji wa serikali inayoanza kazi sasa pamoja na kufuatilia haki zake binafsi ikibidi. He needs to stand great and tall. Aachane na utendaji wa Jiwe enzi hizo. There is no news there.
Sina muda mchafu wa kuthibitisha mambo ya kipuz ya watu wapuzi kama mtume wenu mnayemubudu.Umeandika mipasho unajibiwa mipasho.
Thibitisha ulichokiandika hapa ndipo uniambie nicheck fact.
He will not rest in peace even in his grave for what he did. Terrible.Sijui kama watakusoma wakuelewe hao walioshikiwa akili na Lissu, since 2018 anampigia kelele Magufuli mpaka leo 2021 Magufuli is no more still bado anapayuka tu, hawezi kuwa mzima huyu mtu!
He will not rest in peace to his grave, what he did was so terrible, kama unauchungu kuna nafasi kwenye kaburi kajiegeshe na wewe.Kwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Mama SSH naamini ataendelea kutumbu hao wote wasioenda na kasi ya hapa kazi tu! Magu alifanya kwa kiasi chake ila baadhi ya wateule hawakutaka kubadirika ndio maana hata yy Magu alisema hao wezi na wala rushwa bado wapo na kazi ya utumbuaji ni endelevu!
Sasa mapoyoyo kama tundu wanatafuta chochote watakachoshika ili wamchafue asiyechafuliwa[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Tupo na Magufuli wetu no matter what, he'll always be our hero! Rest peaceful eterally our genuine hero Magufuli!
Kilichomkuta nyani wa serengeti, nyani wa bugiri/burigi. hawezi kukiepuka.Inshu sio kumsema vibaya marehemu, lakini ukweli lazima usemwe!!na hata akirudi leo bado ana wafuasi wengi sana, mbona licha ya kumuita majina mabaya vile, kuwa ni msaliti lakini amerudi kwenye uchaguzi na kushindana na MZALENDO, hamkuamini kuona nyomi ile licha ya kutumia nguvu nyingi kumkwamisha??sasa ndio kipindi mtaona picha halisi ya wananchi, mlikuwa mnawaburuza kwa lazima tu!!jiandaeni vyeo vya brigedia meko, vitavuliwa hadi kubakia mgambo wa soko!!!yaani yaliyomkuta yote yale leo unasema eti hana utu na marehemu??
Kademu kana wivu wa kijinga sana haka.Bi.Mdogo punguza wivu kwan matumizi c bdo unapewa au????
Lisu hana shida ya mfumo wa umeme kwenye moyoMuda umefika wa Lissu kupambana na ‘post traumatic stress disorder’.
Asichukulie poa akiacha hiyo condition ita develop into other serious forms of stress and mental disorders.
Tena mwl.wa stadi za kazi.Tumia akili yako vizuri.
Kwa mwaka jana hakuna mtu CHADEMA ambaye angeweza kuwa na mvuto na kupambana kwenye urais kama Tundu Lissu.
Ilibidi, kubidi haimaanishi ana ndoto hiyo.
Mimi ndoto yangu ilikuwa kuwa rubani lakini ikabidi niwe mwalimu.
homa ya mhaho imewakuta shwayyn,maji mutaita mma,kaza mama wameanza kuweweseka huku timu jiweLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.